
Exclusive release kutoka Mkito.com - Msanii wa Hip Hop WAKAZI ambaye kwa muda mrefu amekuwa akiishi nchini Marekani huku akifanya muziki anakuletea single yake mpya iitwayo WANAWAKE WA DAR. Wakazi anasifa ya kuitwa "Bilingual Beast" kwakuwa anauwezo wake mkubwa wa kuchanganya lugha ya Kiswahili...