KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, April 18, 2014

ARTIST WA KUSINI SASA KUPIGA SHOW MPAKA DAR. (UPDATE INFO)

DEE GOSBA ARTIST TOKA MAFINGA IRINGA MWENYE WIMBO MKALI UJULIKANAO KWA JINA LA KAMA WEWE AMEPATA SHAVU LA KUPIGA SHOW SKUKUU YA PASAKA GADAFI SQUARE, YOMBO BUZA. SHOW HIO INATARAJI FANYIKA JUMAPILI YA TAREHE 20/04 MWAKA HUU.

HILI NDIO TANGAZO LA SHOW YAO.

TANANZIA TO NIGERIA KEVOO HARD FEAT T MOST FROM NIGERIA (UPDATE INFO)

KEVOO HARD ARTIST TOKA IRINGA AKIWA NA MWANADADA T MOST TOKA NIGERIA AMBAE ANASADIKIKA KUA ASHA FANYA NAE TRACK HIO.

HIZI NI BAADH YA STATUS ZILIZOTUPWA INSTAGRAM KUTHIBITISHA HILO.


Kutokana na sasa wasanii tunaitaji sana kufanya music kimataifa Mimi nimeamua kuanza na Nigeria yote kufikisha kazi zangu mbali zaidi Kevoo hard Feat Tmost from nigeria coming soon.

WITNESS MWAIJAGA KAINGIZA DVD YA NYIMBO ZAKE 12 MTAANI. (VIDEO)

WITNESS MWAIJAGA MZAWA WA TUKUYU MBEYA, KATANGAZA KUPATIKANA KWA DVD YAKE YENYE NYIMBO ZAKE 12 KWA BEI NAFUU. WITNESS NI MMOJA KATI YA WANADADA WAKALI SAANA KATIKA MUZIKI WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA, AMBAE ALIWEZA DHIHIRISHA TANGU KWENYE MASHINDANO YA COCACOLA POP STAR YALOFANYIKIA SOUTH AFRICA MWAKA 2004, AKIWA NI MMOJA WA WANAKUNDI LA WAKILISHA LIKIWA NA LANGA (MAREHEMU), SHAA, NA YEYE WITNESS WAKIWAKILISHA TANZANIA. DVD HIO IMEBEBA WIMBO KAMA HOI YA ENZI ZA WAKILISHA, ZERO AMBAYO KAMSHIRIKISHA FID Q, SAFARI, ATTENTION, NA KADHA WA KADHA. KUIPATA DVD HIO KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA WAWEZA MPATA WITNESS KWA NAMBA 0753320009 AU 0717757582. POPOTE ULIPO TANZANIA WASILIANA KUPATA COPY YAKO. MOJA YA VIDEO INAYOPATIKANA KWENYE DVD HIYO, ITAZAME HAPA BUREEE, http://youtu.be/Ofv1YkVP8-s