KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, December 19, 2015

WITNESZ KIBONGE MWEPEC - BUKU JERO ( New Video )


NIMEKUSOGEZEA VIDEO MPYA KABISA YA MWANAMUZIKI WITNESZ KIBONGE MWEPEC DAKIKA CHACHE TUU BAADA YAKUACHIWA MTANDAONI. KUPITIA UKURASA WAKE MPYA KABISA WA YOUTUBE CHANEL SASA UNAWEZA ITIZAMA VIDEO HII KWA KUFOLLOW LINK HII HAPA https://youtu.be/oo1GBCvpEfM NA KUSUBSCRIBE AMA KUBOFYA KITUFE CHA PLAY KUPITIA GADGET HAPA CHINI

Interview ya Chella at ebony fm iringa with edwin bashir tiger mnyama


Habari!Kwa wale mashabiki Wa michanolukuki waliokosa interview ya Chella aliyofanyiwa na Edwin bashir(Tiger mnyama)wanaweza kuisikiliza kupitia link hii ili kujua zaidi mipango ya kundi hilo inayofuata.Kundi linaloundwa na mtoza mc na chella toka kibena Njombe Tanzania.

PROMISE FT CHEGE & MUCKY - NIPE PENZI ( New Audio )


Huu ni wimbo mpya alio uwachia rasmi leo kutoka kwa msanii PROMISE (@PromiceAfrica) akiwashirikisha CHEGE (@ChegeChigunda) na MUCKY, kwenye huu wimbo unaoitwa NIPE PENZI umetayarishwa na Producer MR T TOUCH ikiwa ni Love and Dance song. kwa mawasiliano / Interview mcheki Promise kwa Email: promiseafrica007@gmail.com Download song Link - http://bit.ly/1SWCoWW Embedded Song Link - ( )

NAVIO FT BURNA BOY - GBESILE ( New Audio )


When you mix one of the fastest growing artists on the continent with the biggest East African Rap brand, you get "Gbesile". With Navio and Burna Boy joining forces on one song, it's easy to see how this is being predicted to be one of the biggest December songs of 2015 now on Mkito! The song is a party oriented track, produced by hit maker "Aethan" and engineered by Samurae. However with the sombre artistry that Navio and Burna Boy are known for, the wit, lyrical magic and witty lines become apparent.

Sunday, December 13, 2015

NIMEKUSOGEZEA PICHA ZAIDI YA 28 ZA SHOW YA MTIKISIKO 12/12/2015 IRINGA

MAPEMA MCHANA WA TARE 12 WAKATI MAANDALIZI YA SHOW YAKIENDELEA NILIFANIKIWA FIKA NAKUSHUHUDIA KILICHOKUA KIKIENDELEA.
MOJA YA WANAMUZIKI WA IRINGA VIDY MWENYE SURUALI NYEKUNDU

ROMA AKIKIWASHA KWASTAGE




JUMA NARE NA RICH ONE WAKIKIWASHA JUKWAANI
DJ NAS AKIHOST SHOW TOKA EBONY FM


EDWIN BASHIRI MTANGAZAJI TOKA EBONY FM NA BALOZI WA TIGO NYANDA ZA JUU KUSINI ( Wadhamini wa Show

BAADHI YA RAIA WAKIBURUDIKA NA BURUDANI LIVE TOKA JUKWAANI




KUTOKA NYUMA YA JUKWAA MAPEMA WAKATI WA MAANDALIZI YA JUKWAA HILO



MWANAMUZIKI SKILLS TOKA KUSHOTO, STINO KATI ( Mshindi Waleo ) na FRESH ANDY TOKA KULIA


HII ILIKUA TEAM YA MWANAMUZIKI FRESH ANDY TOKA MAFINGA


CHRISS BEE OFFICIAL MTANGAZAJI WA BOMBA FM PIA TOKA MBEYA NA MWANAMUZIKI HAKUKOSEKANA

CHRISS BEE AKIWA NA MWANAMUZIKI PETRONIA WOTE WAKITOKEA MBEYA MPAKA IRINGA

HAPA NI ROMA BACK STAGE AKIWA KATIKA MAANDALIZI YAKUKWEA JUKWAANI

FRESH ANDY AKIWA NA DJ NAS BACK STAGE

FRESH ANDY AKIWA NA BALOZI  WA TIGO EDDWIN BASHIRI

NILIPATA NAFASI YA KUTOKELEZEA KATIKA PICHA MOJA NA BALOZI WA TIGO EDDO NA MWANAMUZIKI ANGE TAINER TOKA IRINGA

SIKUWEZA KUMKOSA IRINGA BOY AKA DJ NAS BACK  STAGE AKIWA NA ANGE TAINER.

FRESH ANDY PIA ALIPATA TIME YA KUTOKELEZEA NA MWANAMUZIKI NGULI  WA HIPHOP SUA SIDE..

TRBADOUR FT IBRAH - UZURI WA SURA ( New Audio )


Artist-Trubadour George Ft Ibrah Track- UZURI WA SURA Studio- Bantu Music Production Huu ni wimbo wa kwanza wa mapenzi kuuachia hewani kutoka kwangu tangu nianze kufanya muziki, wimbo huu nimeshirikiana na Ibrah, wimbo huu nimetoa maalum kwa mwanamke ninayempenda na pia ni dedication ya watu wapendanao. video ya wimbo huu itakuwa hewani tarehe 18/12/ 2015. video hii imetayarishwa na mecky kaloka kutoka ngome videos.

Barnaba x Mwasiti x The Voice - NJITI


Sasa unaweza kupakua na kusikiliza wimbo maalum wa NJITI (premature babies) uliowezeshwa na Doris Mollel Foundation. Njiti anaweza kuishi akipewa mazingira bora. Sambaza ujumbe huu kwa wengi tuwape faraja wazazi pamoja na Njiti wengi pia. "You can now download and listen special song done by preterm partner artists support the survival of premature new born in Tanzania, spread the word." - Doris

Thursday, December 10, 2015

NAFASI YAKO SASA YA KUIPATA ALBUM YA FRESH ANDY & TENYA BROWN "PAWAMBU"


KAMA ZAWADI YA MWISHO WA MWAKA, KWA WAPENZI WOTE WA MUZIKI ALBUMU YENYE NYIMBO ZA KISWAHILI MCHANGANYIKO NA NYIMBO ZA ASILI KATIKA MFUMO WA DVD, SASA IPO MTAANI RASMI TANGU MAPEMA MWANZONI MWA WIKI HII. UNAWEZA ITAFUTA SASA MTAANI KWA JINA LA "PAMBWAMBU" LIKIWA NA MAANA YA NG'AMBO TOKA LUGHA YAKIHEHE. UNAWEZA IPATA POPOTE ULIPO TANZANIA KUPITIA MAWASILIANO YALIOAINISHWA KWENYE KAVA HAPO JUU. INAUZWA KWA BEI ZA KITANZANIA TSH 3000/- TU.

WAKAZI KUINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA BEST KORA BEST HIP HOP 2016


@Wakazimusic (Tanzania) has been nominated for the 2016 Kora Awards as "Best Hip Hop Act" alongside K.O (South Africa), Sarkodie (Ghana), Stanley Enow (Cameroon), Hamzaoui Med Amine (Tunisia) & Kiff No Beat (Cote D'voire). The Award Ceremony will take place in Windhoek, Namibia on March 20th 2016. Congratulation Broo

EWI - KUMBUSHO KWA RAISI ( New Audio )


Kupakua wimbo wa EWI (Environmental Warriors Of Ilboru) kwa jina "KUMBUSHO KWA RAIS" ikiwa ni HipHop category yenye sauti za wakali Bounako, Spac Dawg, Boox, Chindo pamoja na Gnako mkono toka kwa @defxtro @noizmekah Studios kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na Mkurugenzi wa EWI Ayubu kwa nambari +255 785 435 435 Powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn

COMING SOON: BAADA YA BEST NASSO NAISHU YA MADAWA YA KULEVYA SASA AFUNGUKA YAHA HAPA


Baada Ya Kusemekana Best Nasso, Amekamatwa nchini Congo na Madawa Ya Kulevya. Hatimae amewadhihilishia mashabiki wake kua tuhuma hizo si za kweli,Na Ameachia bonge moja la wimbo. Wimbo uitwao "RUMBA" ni Audio Pamoja na Video,Amesema wimbo huo Utaanza Kupatikana kwenye mtandao wa Mkito.com kuanzia Jumamosi Tarehe 12 mwezi wa 12 ambayo ni siku yake Ya Kuzaliwa. Endelea kuungana nami hapa ili uwe wakwanza kuupata punde tuu utakapo achiwa rasmi.

Ram Life ft Makamua & B the Boss Man - NIPENDE KAMA NILIVYO ( New Audio )


Msanii wa hip hop "Ramlife" amekuletea ngoma hii mpya maskioni mwako ambayo ameitambulishwa rasmi kupitia www.eriqure.com , Wimbo unaitwa NIPENDE KAMA NILIVYO ulioandaliwa na Producer KAJU BEATS, Amewashirikisha "Makamua na B The Boss Man"