KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, August 4, 2014

RISALA NA HISTORIA FUPI YA UMMOJA WA VIJANA IRINGA KWA WAGENI WAALIKWA 03.08.2014 MAFINGA - IRINGA

RISALA NA HISTORIA FUPI YA UMMOJA WA VIJANA IRINGA KWA WAGENI WAALIKWA. 03.08.2014 MAFINGA - IRINGA Mheshimiwa mgeni mkuu wa wilaya ya mufindi evarista kalalu. Wageni waalikwa Katibu wa ccm wilaya mufindi-miraj mtaturu Afisa maendeleo ya vijana wilaya-juma fuluge Mjumbe wa halmashauri kuu ccm-marcelina...

TIZAMA PICHA ZAID YA 13 HAPA ZA UZINDUZI WA UMMOJA WA VIJANA IRINGA (UVI) - ULIO FANYIKIA MAFINGA IRINGA NA ZAIDI YA VIJANA 450 KATI YA 970 YA WANAUMOJA HUO TAREHE 03/08/2014 ( NEWZ )

SHUKRANI ZA DHATI ZIWAENDEE, 1)Mheshimiwa mgeni mkuu wa wilaya ya mufindi evarista kalalu. 2)Wageni waalikwa 3)Katibu wa ccm wilaya mufindi-miraj mtaturu 4)Afisa maendeleo ya vijana wilaya-juma fuluge 5)Mjumbe wa halmashauri kuu ccm-marcelina mkini 6)Kaimu meneja...