Mwana muziki mkongwe wa Hit song ya Jembe (Zamani) na Sinema Remix (Sasa) tokea dar, Amekua na ziara yake ya media tour kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kwa muda wa mwezi mmoja sasa ambapo ziara yake imeisha rasmi leo tar 09/07/2016 ikiwa kama sehemu ya yeye kuitambulisha nyimbo yake mpya na kuaanza andaa maandalizi ya ujio wake wa album yake mpya. Akiwa katika tour hio amekiri pata Support kwa kiasi kikubwa kwa mikoa yakusini mwa Tanzania isipokua Mbeya. Nini kimemkumba zaidi some hapa chini kupitia post yake ya Instagram
MAKAVU LIVE YA 2N MKULIMA BISHOW DHIDI YA MEDIA ZA MBEYA. | General News
Posted by NAOMIKADUMA On 1:04:00 PM
Related Posts:
ATTU MIVOCAL KUDHURUMIWA HEAT SONG YAKE "DO YOU LOVE ME" MWAKA MMOJA SASA UMEPITA TANGU MWANAMUZIKI ATTU CHAWE AKA ATTU MIVOKO AACHIE HIT SONG YAKE IJULIKANAYO KAMA Do you Love me , alomshirikisha Mwanamu… Read More
NEWS: DJHAAZU AJIUNGA NA RADI 5 RASMI By @djhaazu It's Official NIMEJIUZULU Kufanya kazi Mambo Jambo Radio MJ FM Arusha as a Production Manager, Producer, Presenter, Dj, Event Organiz… Read More
ALICHO KIZUNGUMZA DEFXTRO TOKA ARUSHA KUHUSU DIRA YA MUZIKI KWA UPCOMING ARTIST HIKI HAPA Kumsikiliza DX aka @Defxtro toka @noizmekah akizungumzia Dira ya Muziki wa kaskazini,Matamasha,Biashara ya Muziki,Kazi mpya za Wasanii na Umuhi… Read More
#DefQuotes #WazoLaDefxtro Kumekucha! follow @defxtro #ishiukweli #wazoladefxtro Ujamaa umetusaidia Hatutembei Uchi, Ubepari Utatusaidia iwapo tutajitegemea kama Nchi .. Ma… Read More
NEWS: KAMIKAZE KUZINDUA VIDEO YAKE MAFINGA TARE 16 MAY 2015 UZINDUZI HUO UTAAMBATANA NA SHOW KALI TOKA KWA MWANAMUZIKI HUYO, ITAKAYOFANYIKA UKUMBI WA GARDEN PARK KINYANAMBO MAFINGA… Read More
0 comments:
Post a Comment