KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, June 28, 2014

FURSA KWA WANAMUZIKI WOTE NCHINI - DILI TOKWA OTCHUNE RECORDS HILI HAPA. ( NEWZ )

DILI TOKWA OTCHUNE RECORDS HILI HAPA. mambo vipi walengwa? nilitangaza ya kwamba nmeanzisha biashara ya studio wengi wao wanao nipgia simu wanaomba lebo na wengine wanaomba tuwasikilize, so tumeamua kuandaa program ambayo tutakua tunawasilkiliza watu eidha nyimbo zao ama kwa wale watakao taka kurekodi watakua kwenye shindano fupi la kila wiki ila watapaswa kulipia muda wa kusikilizwa 20,000 ambapo programu hii itaanza tarehe 2/7/2014 na usaili huu utafanyika kijitonyama dar na mshindi atapata kurekodi Bure kwenye studio za oTchunes wakisimamiwa na witnes na ochu sheggy, zidaddy mwamba pamoja na Abra tha Producer watakaoshinda kwenye usaili huu kila mwezi watarekodi wimbo mmoja na mshiriki anaweza kushiriki as many times as they can, endapo tu akiwa kati ya watu ambao hawajafikia hatua ya kurekodi wasiliana nasi kwa simu namba 07532 00 009/0717757582 kwa ajiri ya booking ama maelekezo zaidi!

MICHANO LUKUKI - NO FEAR ( NEW AUDIO )

Habari,poleni na kazi ya kujenga taifa.Tunaitambulisha nyimbo mpya ya 'Mtoza mc' toka kundi la 'michano lukuki' aliyo mshirikisha 'pno conscious'.Nyimbo inaitwa 'no fear'imefanyika chini ya studio za E-Lab rec.chini ya producer Tonny/Efficiency man zilizopo mbezi.Mawasiliano yetu ni 0764191674.Tunaomba sapoti yenu na kazi njema.