KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Wednesday, March 4, 2015

COMING SOON YALEO NIKUTOKA KWA MSANII KONA KING AKIWA KAMSHIRIKISHA ONE SIX ( Mdogoake Na Marehem Mez B ) - UMEPENDEZA ( Video )

UMEPENDEZA, NIVIDEO MPYA KABISA TOKA KWA MIKONO YA NICLASS WA IMAGENATION IRINGA. HII INATARAJI PIA TUA MTAAN HIVI PUNDE TOKA KWA MWANAMUZIKI KONA KING TOKA KUNDI LA CENTRAL ZONE DODOMA, HUMO NDANI KASHIRIKISHWA ONE SIX ( MDOGOAKE MAREHEMU MEZ B ) LOCATION IMEFANYIKA DODOMA. TIZAMA KIPANDE KIDOGO...

BIOGRAPHY: WIKI HII TUNAANZA KWA KUKULETEA BIOGRAPHY YA MWANA MUZIKI WITNESS MWAIJAGA AKA WITNESZ THE FITNES.

BIOGRAPHY Birth name; Witness Mwaijaga Stage name; Witnesz the fitnes Philosophy of life; Do the impossible if the possible ai’nt working COCACOLA POP STAR Went to South Africa as winner of coca cola pop star competition out of 2500 contestants and happen to be in a formed winners group called...