KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, November 9, 2013

STANNA FT RAYMOND - RAP

STANNA THE BEST ARTIST FROM MBEYA NA MIKOA YA KUSINI KWA UPCOMMING ANAEFANYA HIPHOP. HUYU NDIO SERENGET SUPER NYOTA TOKA MBEYA 2013.NDO MKALI WA NEW SCHOOL ANAEKUJA TAKE OVER KWA HIPHOP OLD SCHOOL TANZANIA. KUELEWA NINI NAMAANISHA FANYA KAMA UNAIDOWNLOAD TRACK HII. BIG UP KWA QBASS QUALITY TOKA TABASAM MUSIC KWA KUFANYA MKITO UNIQUE NA QUALITY. SUPPORT YENU NDO KILAKITU WADAU. MIAAAAAAA.

SKOSA ft CLARENCE - NIMEKUA

MRITHI WA MIKOBA YA NIKKI MBISH HUYU HAPA, DOGO ANAEKUJA KWA KASI ZAIDI NYANDA ZA JUU KUSINI KWA HIPHOP, KID SKOSA, production imefanywa na KESSIZKESH RECORDS - MBEYA. SOPPORT YAKO NA MAONI NDO KILA KITU KWA KIPAJI HIKI KICHANGA. Mwambieni Nikki Mbish Ajipange coz Mapinduzi yamewadia.

EMMO DA PRO' ft DJ NAS - PARTY TIME

EMMO DA PRO' MKALI MWENYE VIPAJI VILIVYO FICHIKA. NGOMA HII KATENGENEZA MWENYEWE KUANZIA BEAT MIXING MASHAIRI MPAKA POSTERS HII, PIA ANAFANYA VIDEO PRODUCTION. BUT JAMA KAFICHAMA SAAANA HUYU, COZ HAPENDI KUA MUWAZI NA VITU ALIVYONAVYO MPAKA NILIPOTUMIA NGUVU YA ZIADA KUUPATA MZIGO HUU, NDO AKAUACHIA. KIJANA WA KUSINI IRINGA TANZANIA ANAFANYA YAKE PIA. SUPPORT YAKO MDAU NDO THEBEST. MIAAAAA.