KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, April 9, 2015

KAA LAMOTO - LITAKUCHOMA ( New Audio )


Kaa La Moto ni msanii chipukizi wa hip hop Kutoka Kenya Coast ambaye pia ni host wa TV show (Pwani TV). Ameshawahi kushirikiana na wasanii kama vile One Incredible Kutoka Tanzania na Pia Nyota Ndogo.

0 comments:

Post a Comment