
B ALONE MWANA MUZIKI TOKA MKOANI NJOMBE MWENYE CREW IJULIKANANAYO KAMA LUCK NUMBERS, CHINI YA DPM ENTERTAINMENT KWA MUJIBU WA MASHABIKI NA CREW NZIMA YA BLOG HII HUYU NDIE MSANII BORA KWA KUMILIKI JUKWAA NA KUPIGA SHOW KALI. LICHA YA KUA ANA MADANSA PIA ANAJUA KUCHEZA NA KWENDA SAWA NA MADANSA...