KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, July 30, 2017

NAOMI KADUMA - NASONGA MBELE | Video Gospel


Kama haijakufikia ya Mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili, nimekualika kuungana nasi kupitia ukurasa wetu huu kwa dakika 3:23 kupokea ujumbe wa mungu kupitia wimbo wake uitwao Nasonga Mbele. Naomi Kaduma - Nasonga mbele (OFFICIAL VIDEO) Director Max nsemwa Tizama video hii kwa Kubofya hapa chini.