KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, November 15, 2013

HIKI NDIO KIPAJI KILICHO JIFICHA TOKA MIKOA YA KUSINI.

MKALI WAO IRINGA NA MIKOA YA KUSINI EMMO DA PRO' TOKA DA PROS ENTERTAINMENT, IKIWA CHINI YA USIMAMIZI WA EMMO DA PRO' MWENYEWE. INAVITU VINGI SAANA HII KITU. ANAHUSIKA NA VIDEO PRODUCTION, AUDIO PRODUCTION, DOCUMENTARIES PRODUCTION, GRAPHIC DESIGN, ADVERISEMENT NAPIA HUYU NDIO MKALI WA MUZIKI WA MIONDOKO...