KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, June 12, 2014

LINE SIX FT B.U.X - MWAMBIE ( NEW AUDIO )

MKONO HUOOOO LINE SIX KAMSHIRIKISHA BARAKA AKA B.U.X, KWA CHORUS. MZIGO HUU UMEFANYIKA IRINGA NDANI YA TABASAM MUSIC, CHINI YA PRODUCER Q - BASS. MDUNDO MKALI, FLOW KALI, CHORUS KALI, YANI BALAAA TUU .................... ANAOMBA SUPPORT YAKO KAMA MDAU NA MPENDA MZIKI MZURI. MAONI MUHIMU, TUPIA HAPA KAMA UNACHOCHOTE 0653363005

DJ NAS - SALAM KWA JAKAYA ( NEW AUDIO )

HUU NDIO WIMBO MPYA WA DJ NAS WENYE SALAM ZA JAKAYA MRISHO KIKWETE RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO - TANZANIA. WIMBO HUU UMEFANYWA NA EMMO DA PRO' CHINI YA MPINGO PRODUCTION IRINGA, PAMOJA NA AB RECORDS. KUJUA ZAIDI DJ NAS KAZUNGUMZIA NINI KUHUSU MH DR JAKAYA BOFYA HAPA CHINI.