ANGEL BENARD AMEKUA NI MWANAMUZIKI WAINJILI ANAEFANYA MUZIKI WA INJILI KWA STAILI TOFAUTI NA ILIYO ZOELEKA KWA WANII MBALIMBALI NCHINI. AMEWEZA AMSHA HISIA ZA WASIKILIZAJI MBALIMBALI KWA MUZIKI WAKE WAKIWAMO WAKRISTO NAWASIO WAKRISTO KUTOKANA NA STAILI YAKE TOFAUTI TOFAU ANAYOTUMIA KATIKA NYIMBO...
Wednesday, December 31, 2014
VANESSA MDEE, NAHREEL, AIKA, AVID, BARNABA - WCD ( New Video )
Posted by NAOMIKADUMA On 8:51:00 PM
Baada ya kusikiliza mdundo wao,karibu tuitizame video ya WCD ya Nahreel,Veemoney na Barnaba.
Bonyeza play kuitizama hapa chini...
WIISTA - NAIYE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 8:28:00 PM

Wiista baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu toka ajitoe Navy Kenzo na Kujiunga na NGOMA Entertainement arudi kwa kishindo na NAIYE, na amenukuuliwa akisema "2015 ni mwaka wangu, watu watalikumbuka jina la Wiista, wakae mkao wa kula...Video inakuja karibuni"...
VANESSA MDEE, NAHREEL, AIKA, AVID, BARNABA - WCD ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 8:20:00 PM

Wimbo mpya wa kushirikiana wa Vanessa Mdee aka. V Money, Aika, Nahreel, Avid na Barnaba.
...
GRACE MATATA FT MAUA SAMA - HELLO ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 8:08:00 PM
.jpg)
HELLO! is a duet featuring Grace Matata and Maua Sama. The song is written and composed by Maua Sama and Grace Matata, produced and mixed by Ema the Boy at Classic Sound Studio and mastered by Will HD....
WEUSI FT NAVIO, COLLO, NAAZIZ & RABBIT - GERE REMIX ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 8:00:00 PM

GERE REMIX ni collaboration ya wakubwa wa Hip Hop East Africa ikiongozwa na WEUSI (Tanzania) na kuwashirikisha NAVIO (Uganda), COLLO (Kenya), NAZIZI (Kenya) na RABBIT (Kenya)....
Subscribe to:
Posts (Atom)