NIMOJA YA NYIMBO CHACHE SAANA TANZANIA NA HASA TOKA IRINGA INAYO ELIMISHA NA FUNZA JAMII KUHUSIANA NA UMUHIMU WA KUHESHIMU KAZI.VIDEO IMETENGENEZWA NA NIABROS PAMOJA NA RAINBOW IMAGE MASTERS IRINGA, WAKATI AUDIO IKIWA IMEFANYIKA TOP MAGIC SOUND IPOGORO IRINGA.
BOFYA HAPA KUTIZAMA KIDEO HICHO.