
MWANA MUZIKI TUEN LWILLA, MAARUFU KWA JINA LA 2N MKULIMA BISHOW, AMEREJEA RASMI NA WIMBO WAKE MPYA ALIO URUDIA TENA KWA JINA LA SINEMA. WIMBO HUO UMEFANYIKIA STUDIO ZA CHRISS REC ZILIZOKO MAFINGA IRINGA, CHINI YA PRODUCER FIDE. UMEACHIWA RASMI TANGU TAREHE 27/06/2016. PIA KWA UPANDE MWINGINE 2N...