KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, January 31, 2015

Friday, January 30, 2015

WANAMUZIKI MAARUFU NCHINI - TOKOMEZA ZIRO ( New Video )

Wimbo wa Tokomeza Zero wenye lengo la kuburudisha, kuelimisha na kuitaka jamii kuipa sekta ya elimu kipaumbele kwa maendeleo ya Taifa. Wimbo huo umeimbwa na Mwasiti, Linah, Roma ,Stamina, Maunda Zorro,Peter Msechu, Mwana FA, Linex, ,Keisha ,Diamond na Kala Jeremiah.

Monday, January 26, 2015

DJ NAS ft FRESH ANDY - NDIMGAYASIDA ( New Audio )


Kua wakwanza kupakua mikito miwili, mipya kwampigo toka kwa Dj Nas, kama zawadi ya mwaka mpya 2015 kwamashabiki wake popote walipo Duniani. 1. Unaitwa Ndimgayasida ( Sina Matatizo ) Ndan kamshirikisha Fresh Andy aka Dogo Scopy. Producer Kenny & King Briz 2. Unaitwa Iringa Boy,

Sunday, January 25, 2015

Saturday, January 24, 2015

Friday, January 23, 2015

909 - SIKUBALI KUSHINDWA ( New Audio )

909 waja tena kwa nguvu na Wimbo huu usemao sikubali kushindwa, wasikika ndani ya Wimbo huu wakisema “I used to be a problem, now am the solution” Sikiliza ngoma hii na wewe upate matumaini na ni uhakika ukiisikiliza mara moja tu, “sikubali kushindwa” itakuwa slogan ya Maisha yako.

Monday, January 19, 2015

Thursday, January 15, 2015

RIPOTI FUPI YA MKITO,COM KWA BLOGGLERS, WANAMUZIKI, NA WADAU WA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI.


Ndani ya muda mfupi tumeweza kuwafikia watu wengi kimuziki na pia wasanii wengi wameanza kuona matunda ya kazi zao kupitia mauzo ya online. Wa kwanza wa kumshukuru katika hili ni wewe mwenye blog. Asante kwa uzalendo wako na pia kwa kutoa support kubwa katika kuuendeleza muziki wa Kitanzania. Bado safari ni ndefu lakini tunaamini tutakuwa pamoja katika kila hatua. Mpaka sasa unaweza kujua mkito.com imwenufaisha wa wanamuziki wa Afrika Mashariki kwa mchanganuo mdogo kama ifuatavyo ikiwa tangu mwezi wa tano ianze kazi rasmi mpaka leo imeweza kupata downloads zaidi ya milioni 1 na kila donwloads ni sawa na tsh 250 asilimia 60 ya kiasi cha pesa hicho mara milioni 1 ndiyo kiasi walichokwishwa lipwa wanamuziki ikiwa ni tofauti na usambazaji wa nyimbo kupitia mitandao mingine isiyomnufaisha wanamuziki, hivyo tunakushauri mwanamuziki tumia mkito.com kusambaza kazi zako ili uweze kunufaika kupitia kazi zako. Usisite kutembelea ukurasa wetu www.selengakaduma.blogspot.com