KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, February 7, 2013

Maisha halisi ya Selenga Kaduma.

 Hizi ni moja ya edditinga ambazo hua anafanya Selenga Kaduma Akiwa ametulia Magheton Kwake.
Vipi, Ingeweza faa kua Cover ya Album kama angekua Mwanamuziki?

Haya ndo Maisha halisi ya Selenga Kaduma, Na hapa Ni Magheton kwake. Hana Mke, Hana Hata Mtoto wa kusingiziwa. Anaishi Pekeake, na anaenjoy sana Ishi pekeake sikuzote. Anapika mwenyewe chakula chake coz anapenda sana pika, ana fanya usafi mwenyewe, na anapenda jichanganya na marafiki hasa kupitia mitandao ya kijamii.Hii Ni moja ya Sehem ndogo ya siri ya Maisha yake.