BAADA YA UKIMYA WA TAKRIBANI MWAKA MMOJA SASA, HIT MAKER WA "DO YOU LOVE ME" NA MSHINDI WA SUPER DIVA NYOTA WA MKOA WA IRINGA MWAKA 2014, HATIMAE KAINGIA MTAANI NA SINGO YAKE MPYA IJULIKANAYO KAMA "NITAMPATAJE" ILIYOFANYWA NA PRODUCER MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI NA MGENI KABISA KATIKA TASNIA YA MUSIC PRODUCTION "ICE TOUCH" CHINI YA STUDIO ZA CHRIS RECORDS MAFINGA - IRINGA. KUA WAKWANZA KUUSIKILIZA WIMBO HUU WENYE VIONJO VYA AINA YAKE KWA KUUDOWNLOD HAPA CHINI...
Sunday, November 29, 2015
NAFASI YA PEKEE KWAWANAMUZIKI WA MIKOA YA NYANDA ZAJUU KUSINI.
Posted by NAOMIKADUMA On 7:31:00 PM
KAMA TANGAZO LINAVYO JIELEZA HAPO JUU, HII NDIO NAFASI YAKO PEKEE YAKUWEZA TUMIA KIPAJI CHAKO CHA MUZIKI KATIKA KUTENGENEZA AJIRA TANZANIA. UKURASA WETU UKISHIRIKIANA NA K-STAR RECORDS, UTASIMAMIA MPANGO HUU KWA WASANII WATAKAO KIDHI VIGEZO VINAVYO HITAJIKA. KUMBUKA KUFWATA MAELEKEZO YATANGAZO LETU PALE UTUMAPO KAZI ZAKO, AMA SAUT KWAUJUMLA. HATUTA HITAJI MAELEZO YA MAHALA ULIPO FANYIA KAZI ZAKO AMA JINA LA KAZIZAKO. TUNACHO KIHITAJI SISI HASA NISAUTI YAKO TU, ILI KUWEZA FANIKISHA USAILI WETU. KAZI UTAKAZO TUTUMIA KAMA TANGAZO LIVYO ELEZA HAPO JUU ITAKUA KWAAJILI YA KUTUWEZESHA SISI KUKUFANYIA USAILI TU NA SI VINGINEVYO. AIDHA KUSHINDWA TEKELEZA MAAGIZO AMA MASHERT YA TANGAZO LETU, ITAKUA NIMOJA YAVIGEZO VITAKAVYO ANGALIWA KWENYE USAILI WAKUWATAFUTA WANAMUZIKI TUNAO WATAKA. MFANO, KUTO TUMA JINALAKO KAMILI, JINA LA JUKWAAANI,MAHALA ULIPO NA MAWASILIANO YAKO VINAWEZA KUKUPOTEZEA SIFA. WASHINDI WETU WANNE TUNAO WATAFUTA WATAJULISHWA MOJA KWA MOJA KUPITIA MAWASILIANO YAO WALIO TUTUMIA, NAPIA WATATANGAZWA KUPITIA UKURASA HUU MAPEMA WIKI IJAYO INAYOANZA NA TAREHE 7/12/2015. PROGRAM HII NISEHEMU NDOGO YA KUJITOLEA KATI YA K-STAR RECORDS NA UKURASA WETU WA www.selengakaduma.blogspot.com KATIKA KUIBUA, KUKUUZA, NAKUENDELEZA VIPAJI VYA WANAMUZIKI WANAOCHIPUKIA MIKOA YA NYANDA ZAJUU KUSINI YAANI IRINGA, MBEYA, NJOMBE,RUKWA NA RUVUMA. NB: IKUMBUKWE KUA USHIRIKI WAKO UTAKUA WA HIARI NA SI LAZIMA.
KARIBUNI NYOTE.
Subscribe to:
Posts (Atom)