KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, July 9, 2016

MAKAVU LIVE YA 2N MKULIMA BISHOW DHIDI YA MEDIA ZA MBEYA. | General News

Mwana muziki mkongwe wa Hit song ya Jembe (Zamani) na Sinema Remix (Sasa) tokea dar, Amekua na ziara yake ya media tour kwa mikoa ya nyanda za juu kusini kwa muda wa mwezi mmoja sasa ambapo ziara yake imeisha rasmi leo tar 09/07/2016 ikiwa kama sehemu ya yeye kuitambulisha nyimbo yake mpya na kuaanza andaa maandalizi ya ujio wake wa album yake mpya. Akiwa katika tour hio amekiri pata Support kwa kiasi kikubwa kwa mikoa yakusini mwa Tanzania isipokua Mbeya. Nini kimemkumba zaidi some hapa chini kupitia post yake ya Instagram


Asante MUNGU nimemaliza media tour YANGU ya Nyanda japo vikwazo vilikua vingi sana sana katika jijini Mbeya niliumia sana sana jiji nililozaliwa na Kukulia hapo kunyimwa kabisa ushirikiano wengine wakidiliki kuniomba chochote kwanza ndo nisapotiwe wakati kote nilikoanzia cjaobwa chochochote na nilisapotiwa kwa nguvu zote ni radio moja tu Mbeya iliyokubali kunisapoti bila kikwazo chochote thanx bomba FM 100.4 mbeya @shaban_nassoro @dj_speedbrother @killerbwoy Asante radio zote Za nyanda za juu kwa ushirikiano wenu kwa wasanii wa nyanda za juu kusini kwa sapoti ya ukweli izi radio nimefanya intar view bila kipingamizi na ushirikiano wao kwangu wa kutosha ebony FM iringa@fredoombunji Nuru Fm @rogermagoha Makambako aice fm @gamideetz Njombe kings fm@robbydabby Uplands fm@ergonelly Sumbawanga ndingala FM @emmodapro100 Chem chem radio @petetmalema @vjyusto Nkansi FM @djmwinyi Ludewa green FM @edwinmoshi Blogger Mkubwa Nyanda za juu kusini @selengakaduma Kitulo Fm @giftkyando Asante sana Nyanda za juu kwa hiii sapot @2n_mkulimabishow

A photo posted by 2n mkulima bishow (@2n_mkulimabishow) on