SHINDANO LAKUSAKA VIPAJI VYA WASANII WAMUZIKI WA KIZAZI KIPYA, AMBALO HUA LINADHAMINIWA NA SERENGETI FIESTA KILA MWAKA. LIMEWEZA MUIBUA MWANADADA ATTU MC KAMA MSHINDI WA SUPPER NYOTA IRINGA AMBAE ATAKWENDA UWAKILISHA MKOA WETU IRINGA DAR KWA KUMSAKA MSHIND SUPER NYOTA NCHI NZIMA. MOJA YA OFFA...