KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, April 30, 2015

JOHN MAKIN - NUSU NUSU ( New Video ) + PHOTOS FROM LOCATION.







Watch @joh_makini "Nusu Nusu" Video HAPA powered by www.selengakaduma.blogspot.com, @weusikampuni @vmgafrica @j4cinyo @djhaazu @fredyze1 #supportyourown starring @nahreel @juma_jux dir by #justincampos @gorilla_films, #setdesign by @icandicam, video produced by @cashtime_siya

NEWS: Pigia Kura "XO" Video ya Joh Makini TZW13E


Pigia Kura Video ya "XO" by @joh_makini ft @gnakowarawara katika "Tuzo za Watu 2015" kuwania Tuzo ya Video Bora Inayopendwa na Watu kwa kuandika "TZW13E" kwenda "15678" au kupitia Tovuti ya www.tuzozawatu.com powered by tuzozawatu @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @weusikampuni @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #tuzozawatu2015 #SupportYourOwn Kupiga kura andika code ya muigizaji unayempenda na tuma ujumbe wa simu kwenda namba 15678 au tembelea www.tuzozetu.com. Piga kura kwa wingi zaidi, ujipatie nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali zikiwemo tickets za safari ya ndege, ndani na nje ya nchi kutoka kwa wadhamini wetu Fastjet

FALENZY _ OPPORTUNITY ( New Audio )


Falenzy ni msanii wa Gospel Kenya ambaye kwa sasa amepata nomination Tatu katika Groove Awards ambapo wasanii ambao wamebobea Katika Gospel Music hutuzwa Kila mwaka nchini Kenya. Msanii huyu amepata nomination Tatu zikiwa Hip Hop song of the year, Collaboration song of the Year and New Artist of the year. Opportunity Ndio wimbo wake ambao umevuma sana na pia umefanyiwa remix akiwashirikisha Dee, Elsie Na Nellius ambao ni wasanii chipukizi. Pakua wimbo wa Falenzy hapa

NEWS: Wafahamu Zaidi STDZ


STDz stands for Street Delegates.TUMSIME and MSHUMBU are the members.Born in ARUSHA a.k.a CHUGA,Raised at SANAWARI crazy about Street Hip Hop. Bofya https://mkito.com/artist-profile/stdz/599 Kutembelea Profile na kupakua nyimbo zote za STD'z https://mkito.com/song/mida-inayeyuka/13421 https://mkito.com/song/hizi-mitaa/4501 https://mkito.com/song/pressure-remix-ft-lordizzy-stoparhymes-chindo-ladynaike-fidovato-lavosti-son/2231 https://mkito.com/song/pressure/2234 kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na STD'z kwa email stdzchuga@gmail.com @tumsime17 & @stephenmwenera powered by @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com @j4cinyo @mkitodotcom @djhaazu @fredyze1 #SupportYourOwn #vmgafrica

NEWS: Fire Star, Mac Mc watwaa tuzo KVOOS Multimedia 2015



Orodha ya washindi wa tuzo za KVOOS 2015 Wasanii chipukizi wa muziki wa bongo flava nchini, Mac Mc na Fire Star wamefanikiwa kutwaa tuzo za KVOOS Multimedia Awards zilizotolewa mwishoni mwa wiki iliyopita Msasani jijini Dar es Salaam. Wasanii hao wametwaa tuzo hizo huku fire star akitwaa katika kipengele cha Best Upcoming Music Song kupitia wimbo wake ‘She is Beautiful’ huku washindi wengine wakiwa ni Producer P, Zungu la Floo na Myself ambapo Appliciation award imeenda kwa Mac MC. KVOOS Multimedia imetoa tuzo hizo ikiwa ni katika jitahada zake za kuinua vipaji vya wasanii wachanga wa muziki wa bongo flava kwani washindi wa tuzo hizo watapata fulsa ya kusambaziwa kazi zao bure na kampuni hiyo. Tuzo za KVOOS zilianza rasmi January 15, 2015 ambapo zoezi la upigaji kura lilianza kukiwa na vipengele vinavyohusisha muziki wa Hip Hop video na Audio pia Bongo flava kwa Video na Audio ambapo zoezi la kupiga kura lilikamilika March 29, 2015 ambapo zoezi la upigaji kura lilisitishwa na wasanii hao kuibuka washindi. Katika hatua nyingine Fire Star na Mac Mc wametoa shukrani zao za dhati kwa KVOOS kwa kuwathamini wasanii wachanga na kuwapa nafasi ya kushindania tuzo kama hizo walizotwaa huku akitoa wito kwa makampuni mengine kuiga mfano wa KVOOS.