Monday, September 21, 2015
GODZILLA - STAAAY ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 4:01:00 PM
LOVE SMILE CLASSIC - WEWE NI WANGU ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 3:56:00 PM
TOKA K-STAR RECORDS MAFINGA, NAKUSOGEZEA WIMBO MPYA UITWAO WEWE NIWANGU CHINI YA MIKONO YA PRODUCER KENNY. KUA WAKWANZA KUUSIKILIZA KWAKUBOFYA KITUFE HAPA CHINI
TRUBADOUR FT P-THE MC & SONGA - FIKIRI X 2 ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 3:45:00 PM
Katika kipindi hiki cha uchaguzi, Trubadour akiwa na P The MC pamoja na Songa wanakusihi ukae chini na ufikiri kwa makini kabla ya kupiga kura!
Link >
ZIZ INFINITY - KASURA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 3:22:00 PM
kupakua wimbo wa @iam_zizinfinity Chini ya #KaliZoneMusic kwa Producer Goncher na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na ZIZ INFINITY kwa +255 653 004 142 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #kasura #SupportYourOwn
NAKAAYA FT CHIDI BENZI - I AM AN AFRICA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 3:16:00 PM
The song 'I am an African' Was inspired by the genocide in both Rwanda and Kenya. I wrote it because i felt like alot of Africans have lost sight of who they really are and instead focused on very irrelevant issues such as tribalism or political affiliations. At the end of the day, we are all Africans and it should not matter what tribe, religion or country you come from. We are one! We should be proud.
Nakaaya - 2015
CANNIBAL ft CHIDI BENZ - NISHAKUPENDA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 3:09:00 PM
Baada ya kuporomosha MDUDE, rapper wa 254 pamoja na rapper wa 255 Chidi Benz waungana na washakupenda na wimbo huu mpya!
Pakua hapa >
RAZZO FT DULLAYO - NIKUPENDAJE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 3:03:00 PM
Msanii Razzo Amshirikisha Msanii mkongwe Dullayo katika wimbo wake mpya unao itwa' Nikupendaje'.Umetengenezwa katika studio za sampamba music Iringa
WAKAZI FT ANTONEOSOUL - PAID MY DUES ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:51:00 PM
Baada ya Party Exclusive, rapper Wakazi amshirikisha nguli wa Soul kutoka Kenya, Anto Neosoul ambaye ni mshindi wa tuzo mbali mbali pia amewahi kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Africa 2009.
Huu hapa wimbo wao mpya, PAID MY DUES >
BOUNAKO FT LORD EYES - BADO TUNAPETA ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:43:00 PM
Mzigo Mpya wa @bounakojembe ft @lordeyesmweusi cc @gnakowarawara produced by @defxtro @noizmekah Kwa mawasiliano/Mahojiano check na BouNako kwa +255 718 396 869 au +255 762 032 150 powered by @vmgafrica www.vmgafrica.com #SupportYourOwn
PRUFF D - PRUFF D ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 2:39:00 PM
kupakua wimbo wa @pruffcnon PRUFF D kwa jina "Pruff D" chini ya Bashash Records na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check +255 765 347 575 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica #SupportYourOwn
--
Subscribe to:
Posts (Atom)