FALENZY _ OPPORTUNITY ( New Audio )
Falenzy ni msanii wa Gospel Kenya ambaye kwa sasa amepata nomination Tatu katika Groove Awards ambapo wasanii ambao wamebobea Katika Gospel Music hutuzwa Kila mwaka nchini Kenya.
Msanii huyu amepata nomination Tatu zikiwa Hip Hop song of the year, Collaboration song of the Year and New Artist of the year.
Opportunity Ndio wimbo wake ambao umevuma sana na pia umefanyiwa remix akiwashirikisha Dee, Elsie Na Nellius ambao ni wasanii chipukizi.
Pakua wimbo wa Falenzy hapa
0 comments:
Post a Comment