KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, September 14, 2015

MANSU-LI KUJA PUNDE NAMZIGO MPYA AKIWA NA DULLY SYKES NDANI. ( Coming Soon )


Kama bango lionyeshavyo hapo, Mkali wao kwenye Hip Hop Toka Sinza Dar, Mansu Li apost picha hio ikionyesha tar 22 mwezi huu wa 09 anatua namzigo npya ukiwa umefanyika studio za 4.12 za mkali wao Dully sykes. Inategemewa kua pia Sauti ya Dully itasikika humo ndani. Kukuthibitishia hili Ungana nami kwakubofya link hapo chini ya ukurasa wa Mansu Li kujua zaidi.

SAMPAMBA MUSIC ( SILLEY ) FT JAY MIKE - TICK TOCK ( New Audio )


Niwasanii toka Tanzania walio chini ya Studio inayojulikana kwa jina la Sampamba Music wakimshirikisha msanii toka Marekani anayejulikana kwa jina la Jay mike wimbo wao unaoitwa [Tick Tock] ambao umefanyika katika studio za Sampamba Music zilizopo Tanzania[Iringa] na Studio za Allusion Muzik zilizopo Marekani. Wimbo wao unaitwa Tick Tock au Saa ya mshale unazungumzia maisha ya kila siku ya kijana mtafutaji.Producers walio shiriki kuuandaa wimbo huu ni Producer Silley toka Tanzania [Sampamba Music] na Jay Mike toka Marekani [Allusion Muzic] mawasiliano 0763231052 au sampamba59@gmail.com na allusionfilms23@gmail.com. Ahsante