KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, December 31, 2016

Trubadour - Mahakama ya mwanzo | Audio

Track- MAHAKAMA YA MWANZO
Artist- TRUBA
Produced by Proba
Time records





Huu ni wimbo wa ziada kutoka kwenye albamu ya Truba inayokwenda kwa jina la MWALUSAMBA itakayokuwa mtaani mwezi wa kwanza mwaka 2017. wimbo huu una lengo la kuwarudisha kwenye mstari wasanii walio nje ya misingi ya utamaduni wa HIP HOP na kutoa mwongozo wa jinsi muziki wa HIP HOP unavyotakiwa kufanywa. Wimbo huu ni utangulizi wa wimbo utakaotoka mwezi wa kwanza nilioshirikiana ya msanii YOUNG KILLER pamoja n LAYLA toka THT. KAULI MBIU YETU. #RUDI KUNDINI# WE OWN GAME.


https://my.notjustok.com/track/download/id/165870


Monday, December 12, 2016

Sio Bure - Come Dash Ft Baraka Da Prince | Audio

Singer Name;-Come Dash Ft. Baraka Da Prince
Song Name:-Sio Bure
Country;-Tanzania
    
Genre;-Bongo Fleva
Producer;-Mr t touch

Hi,
I hope you're doing well.
This is brandy new song from Touchez Studio by
 Artist;-Come Dash Ft. Baraka Da Prince
  track;-Sio_Bure
We thanks for promoting us everyday..
God bless you...Call me +255766346778 For More Information..
https://my.notjustok.com/track/download/id/158570

Sunday, December 11, 2016

Monday, December 5, 2016

Sunday, October 30, 2016

Friday, October 28, 2016

Sunday, October 16, 2016

Ommy-Dar - Hofu | Audio

Msanii Ommy Dar ameamua kuja na ujio mpya  wa wimbo wake  unaitwa Hofu
wimbo umetayarishwa na Producer Silley kutoka Recording label ya Sampamba music[S.M.G] iliyopo nchini Tanzania Kuupakua wimbo huu bofya kitufe cha download hapa chini

https://my.notjustok.com/track/download/id/139917
Kuusikiliza ukiwa online gusa hapa chini

Saturday, October 15, 2016

Sunday, October 9, 2016

Trubadour George Feat Dullayo & Chindo Man - RIP (REST IN PUBLIC)

Artist- Trubadour George Feat Dullayo & Chindo Man
Track- RIP (REST IN PUBLIC)
Producers- Silley & Teknohama
 Kuupakua wimbo huu Bofya kitufe cha Download Hapa chini...
https://my.notjustok.com/track/download/id/137783
Kuusikiliza huku ukiwa online Bofya kitufe cha Play Hapa chini.