
Je wewe ni msanii na hauna pesa ya kurekodia?
kama unakipaji kizuri cha kuimba na kutunga Sampamba Music inakupa
nafasi wewe msanii au muimbaji wa Bongo flava na Gospel na kukusaidia
kurecord bule kabisa katika studio ya Sampamba Music iliyopo nchini
Tanzania Inayojulikana kwa jina la Sampamba...