KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, July 16, 2015

ATTU MIVOCAL KUDHURUMIWA HEAT SONG YAKE "DO YOU LOVE ME"

MWAKA MMOJA SASA UMEPITA TANGU MWANAMUZIKI ATTU CHAWE AKA ATTU MIVOKO AACHIE HIT SONG YAKE IJULIKANAYO KAMA Do you Love me , alomshirikisha Mwanamuziki Ibra. HITSONG HIO ILIFANYWA KATIKA STUDIO ZA BANTU MUSIC ZILIZOKUA IRINGA KWASASA DAR MWENGE CHINI YA PRODUCER GERALD NA LUSUNGU. WIKI HII KUNA MWANAMUZIKI MCHANGA  WAKIKE TOKA DAR ES SALAAM  AJULIKANAYE KAMA HAPPY SULEIMAN KAJITOKEZA NAKUDAI WIMBO HUO NIWAKE AKIWA KAUTAMBULISHA KWENYE RADIO MBALIMBALI NCHINI NA TV STATION IKIWEMO EATV KENYE KIPINDI CHA E NEWS.

MWANADADA HAPPY SULEIMAN ALIEJARIBU DHURUMU WIMBO WA ATTU NAKUUTAMBULISHA
HAPA UNAWEZA ONA MWANADADA HAPPY SULEIMAN AKIJARIBU JITETEA KWENYE BAADH YA MAGROUP YA WHATSAPP


TIZAMA ALICHOKIZUNGUMZA MWANAMUZIKI ATTU MIVOCAL HAPA, KAMA ULIPITWA NASTORRY HII.