
Habari.
Mdau/Mwanatasnia/Bloggers kwa kutambua mchango wenu wa kuuendeleza muziki wa Bongo, naomba sapoti ya kuucheza, kuusambaza na kuusikiliza wimbo yangu huu mpya.
Jina langu kamili ni Greyson Salufu Chatanda, mbali na kufanya muziki mimi ni mtangazaji na Dj kutoka Bomba FM Mbeya.
Natumaini...