WAKUU NAOMBENI SUPPORT ZENU KWA KUSUKUMA TRACK HII MPYA.
MIMI NI MSANII CHIPUKIZI ( SNIPER) KWAJINA. NIMEFANYA TRACK TRACK HII KATIKA STUDIO ZA TABASAM RECORDS IRINGA.
NIMEMSHIRIKISHA SUMA MNAZARETI KA CHORUS.
AHSANTENI-NA KWA USHAURI NA MAONI NAMBA ZANGU NI-0717 957 881
Tuesday, June 10, 2014
NEMY & DJ NAS - WAKUJA ARUDI BUSH ( NEW VIDEO)2
Posted by NAOMIKADUMA On 8:00:00 PM
new music video yake Nemy & Dj nas inakwenda kwa jina la [WAKUJA WARUDI BUSH] audio imefanyika katika studio za AB RECORDS chini ya producer KAY B na video pia imefanywa na NEXT EFFECT directOr PUNJE production zote zimefanyika ndani ya ardhi ya iringa so wadau tujitahidi kubust mziki wetu
Subscribe to:
Posts (Atom)