.jpg)
Kama kawaida mzigo mwingine huo hapo kwa watoto wa nyanda za juu kusini wakitokea mafinga-IRINGA
wamesha achia nyimbo yao mupya inayoitwa MALAIKA inayo patikana kwenye Albam ya pamoja kati ya DOGO SCOPE NA TENYA BROWN inayoitwa PAMWAMBU.Mzigo wanguvu tayari umesha anzakufanya vyema kwenye vituo mbalimbali...