KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Friday, March 6, 2015

COMING SOON YALEO: MWANAMUZIKI MKONGWE SOGGY DOGGY KUJA NA TRACK ITAKAYO ITWA NAFUNGA ZIPU.


HIKI NDICHO KINACHOTEGEMEWA KUJA HIVI PUNDE TOKA KWA MWNANAMUZIKI MKONGWE NA MTANGAZAJI TANZANIA, BAADA YAKUANDIKA HAYA MUDA MCHACHE ULOPITA KWENYE UKURASA WAKE WA Instagram.

Ungana nami hapa kila siku ili kua wakwanza kupata Coming Soon za Kila kitu. Kama Ni mwanasanaa na Una Coming Soon yeyote ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

COCO DEBOYZ STORY YAO ( New Audio )


Kupakua wimbo wa Coco De Boyz kwa jina "Story Yao" toka Noizmekah Studios chini ya Defxtro,kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na Coco De Boyz kwa nambari +255 713 877 972 au +255 754 871 803 powered by @vmgafrica #vmgafrica www.vmgafrica.com @noizmekah #SupportYourOwn

DOCUMENTARY: ZAIIDI NA P THE MC, WAKIZUNGUMZIA MIXTAPE YAO "MWENGE KIWALANI" NA MWANZO WAO.


Hii ni documentary kuhusu mixtape ya rapper wawili wa Tanzania, Zaiid na P the MC iitwayo 'Mwenge Kiwalani' Ungana nami hapa kila siku ili kua wakwanza kupata Documentary za Kila kitu. Kama Ni mwanasanaa na Una Documentary yeyote ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

DOUBLE H - NAWEKA NIA ( New Audio )


kupakua wimbo wa Double-H ikiwa ni Dancehall Category kwa jina "Naweka Nia" toka Noizmekah Studios chini ya Defxtro,kwa mahojiano/mawasilano zaidi check na Double H kwa nambari +255 757 890 732 powered by @vmgafrica #vmgafrica www.vmgafrica.com @noizmekah #SupportYourOwn