Pakua wimbo mpya kutoka kwa Mzee Yussuf na Jahazi Modern Taarab wakimshirikisha Vanessa Mdee katika wimbo mpya HEWALLAH.
Tuesday, January 26, 2016
BARAKA DA PRINCE - SIWEZI ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 7:50:00 PM
kupakua official Audio ya @Barakah_DaPrince brand new kwa jina #SIWEZI produced by @manecky_amrecs na HAPA https://youtu.be/seXwsIlwdEY Kutazama Official Video directed by @kevinboscojnr powered by @vmgafrica @defxtro www.vmgafrica.com @djhaazu @j4cinyo @vmgafrica #SupportYourOwn
--
ZAIID KUZALIWA NA KIMBAU MBAU 28/ JANUARY.
Posted by NAOMIKADUMA On 7:44:00 PM
#kaatayari kwa wimbo mpya kutoka kwa #ZAiiD @zaiidyao uitwao #kimbaumbau utakaotoka siku yake ya kuzaliwa #28jan
Tino mafia ft Dranuel WHY Direct by Essem Creator (OFFICIAL VIDEO)
Posted by NAOMIKADUMA On 7:40:00 PM
SWEET FLAVOUR - POLE POLE ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 7:32:00 PM
Hello!
Mpaka hivi sasa kumekua na so many short video clips za watu mbali mbali zilizo sambaa sana sana mitandaoni wakiji record huku wakiimba nakutumiana wimbo wa Pole Pole ulioimbwa na vijana wapya katika tasnia hii ya Music. Vijana hawa wenye sauti yakubembeleza wanaoitwa Sweet Flavour wamekua nitishio sana kwa wengi kutokana na vile wimbo wao ulivyoweza kusambaa kama umeme mitandaoni.
Kwa muda mchache tu baada ya wimbo huu kudakwa na moja kati ya watu waliotembelea studio za Kaburu Records nakuutuma kwa mwenzake na mwenzake pia kwa mwenzake wimbo huu umekua ukisambaa kwa kasi sana nakuinua maswali mengi kwa wapenzi wa Music.
Wengi wamekua wakitaka kuwajua zaidi vijana hawa wenye sauti zakuwavutia na kuwaburudisha wengi haswaa wakina dada mpaka kuwapelekea kuushika wimbo huu kwa kipindi kifupi tu na hapa ndipo utakapo pata nafasi yakuwajua Sweet Flavour.
Sweet Flavour nikundi la vijina wawili toka Kaburu Entertainment wakiwa kama label nakusimamiwa kazi zao zote hapo chini ya Kaburu Entertainment. Vijana hawa T More na Singano huu ni wimbo wao wa kwanza kabisa na umeonyesha neema kubwa baada yamashabika kuupokea vyema. Wimbo umefanyika Kaburu Music Studio chini ya Producer Father Beat a.k.a Kona nakusimamiwa na CBH a.k.a Sampa Music King.
Zaidi na zaidi wimbo huu wenye melody yakuto toka kichwani pindi ukiusikia, vijana hawa wameweka kilio chao chote ndani ya mapenzi nakulalamika juu ya mapenzi yanayowatesa wengi huku bado wakijishusha kinyonge! Wamejaribu kuwakilisha kila chozi la mnyonge wamapenzi nakumfanya kila mtu aguswe nakuhisi wimbo huu ni sahihi kumtumia mpenzi wake.
Sio maneno tu! Sikiliza wibo huu hapa alafu utajua nikipi kimeupa nafasi yakupenya nakupendwa nawatu wengi.
WAKAZI AOMBA KUPIGIWA KURA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA TUZO ZA KORA 2016.
Posted by NAOMIKADUMA On 7:13:00 PM
MWANAMUZIKI WA MIONDOKO YA HIPHOP TANZANIA,AJULIKANAE KWA JINA LA WAKAZI, AKA SWAGGER BOVU BEBERU, ACHAGULIWA KUINGIA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA MWANA MUZIKI BORA WA TUZO ZA KORA 2016. YAFUATAYO NIMAELEKEZO JINSI YA KUMPIGIA KURA.
TUMA "Kora 123" kwenda +248984000 kumpigia Kura Wakazi (@wakazimusic) kama #BestHipHopAct Kwenye #Kora2016
Unaweza kupiga Kura mara nyingi uwezavyo ili kuleta ushindi Nyumbani. Kila sms itakugharimu 137 Tsh. Zoezi la upigaji kura limeanza tangu tar 24/01/2016 na kwa mujibu wa wakazi mwenyewe linatarajiwa kwenda kwa wiki 5 zaidi.
#SupportYourOwn #Patachimbika
TIZAMA HAPA VIDEO FUPI YA WASANII ANAO CHUANA NAO KATIKA KATEGORY MOJA AFRICA.
G NAKO - ORIGINAL OG ( New Audio )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:39:00 PM
Kupakua wimbo wa #MrOG @gnakowarawara kwa jina #OG "ORIGINAL" toka studio za The Industry produced by @NahReel huku tukisubiri Official Video Release 18th January Jumatatu Jioni @MtvBaseAfrica na baadae @youtube na TV Stations Zote kwa mawasilano/mahojiano check na @gnakowarawara kwa nambari +255 715 593 041 powered by @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #vmgafrica @j4cinyo @djhaazu #SupportYourOwn
--
TRUBADOUR GEORGE FT IBBRAH - UZURI WA SURA ( New Video )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:28:00 PM
This Is A New Video From TRUBADOUR Tittled "UZURI WA SURA" Featuring R&B Sensation Ibrah. This Is Official Single From His Upcoming Album Set To Drop Later 2016. Recorded At Bantu Studio Produced By Molento & Mixed By Cjamoker.
Subscribe to:
Posts (Atom)