KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, August 31, 2013

Kipaji kinachoota kwa kasi toka Makambako-Njombe.

Kipaji Kinachoota kwa kasi toka Makambako - Njombe. Artist anaeweza na anafanya Music wa Hip Hop. Katoka na Track iitwayo Labda Kesho ft J- Melody toka 05 Records. Video ya track hio inataraji dondoka soon mtaani. Tembelea link hapo chini kuisikiliza, share ama download track hio. Support yako ndo kila kitu mdau.

http://www.hulkshare.com/5krps75f9vuo

Mjue Mtangazaji Na Dj Waloinua zaidi Music Nyanda za Juu kusini 2006-2013 mwanzoni.

 Moja kati ya watangazaji walofanikiwa leta mabadiliko makubwa ya Music Nyanda za Juu kusini, Eddo Bashiri akiwa kwenye kipindi chake cha One six show wakati huo bwana.
 Dj Mkali, na alie leta Mabadiliko Makubwa nyanda za Juu Kusini Kwa sasa yupo Dar Capital Radio akipiga kazi huko. Miss u Muba coz unatukumbusha Mengi. Alikua rafiki Mkubwa wa Eddo Nje ya kufanya kazi wote.
 Alikua kipenzi cha wengi wakati akitangaza, Na hata sasa bado anauliziwa saaaana Mtaani na wasikilizaji kibao. Kudhihirisha haya, Makonda madereva, wa daladala, vijana mitaani wamekua wakitumia moja ya sauti zake akiwa kwenye kipindi kama Miito ya simu kwenye simu zao. Hili nimeweza lishuhunia mwenyewe. Moja ya sauti hizo utaipata hapa hapa kwenye ukurasa huu.
Hapa akiwa nje ya Ofice yake Radio Ebony fm wakati anatangaza hapo.

Bado tunakupenda, na tunakukumbuka sana. Hope ipo siku watu mtajua kwanini niliamua makala ya Mtangazaji huyu, na Dj Muba ambae walikua kama Mapacha Ama kam Tom And Jerry kwa wale wapenda katuni. We Miss u Bro Kitaaaa.


http://www.hulkshare.com/w4411up48s1s

Sehemu ya pili ya Mafanikio ya Msanii Mgc Mtata.

 The Sky English Medium, Moja ya madarasa ya Shule hio kwa sasa ambayo yanaendelea tumika na yako Chini ya Artist Mgc Mtata Mzee wa Kauli Ifunda Iringa.
 Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Hapo Masomo ya QT na Kurudia Mitihani ya kidato cha nne.

 Darasa kwa ndani jinsi lilivyo,

Wote Mnakaribishwa. Haya ndio yalikua baadhi ya Mafanikio na Miradi ya Msanii tajiri kuliko wote nyanda za juu kusini Mgc-Mtata, ambae anamtaji wa takribani 120 Million anazo miliki kwenye mali zake.

Saturday, August 24, 2013

Friday, August 23, 2013

Je Unamjua Up Comming Artist Tajiri Kuliko wote Nyanda za juu kusini?

 Anajulikana kwa jina la Mgc-Mtata, Pichani hapo ambae Kaanza Music 2010 Rasmi kwa kurekodi wimbo uitwao Siamini, akiwa kamshirikisha Ibra na ukiwa umefanyika Rainbow records kwa Temi G wakati huo, badae ikaja Hip Hop Michano, Hatimae 2012 kuchomoka na Song La  Kauli, ft Smacka Mtata, Chini ya Producer Kb Keruz  AB records Iringa.
 Moja ya Miradi anayomiliki Mgc Mtata, Music Library ndogo iliopo Ifunda-Iringa.
 Shule ambayo anzidi Ijenga kwa sasa Ifunda ikitegemewa kuja kua ya Secondari.
Ofisi yake ya sasa Iliopo Ifunda Ambapo Anashule ya watoto wadogo Kindagaten, Iitwayo THE SKY ENGLISH MEDIUM, yenye huduma ya Boding na Day, Pia Kwa sasa ana Darasa la QT, pamoja na Risitazi, wa mtihan wa kidato cha nne. Kaajiri zaidi ya wafanyakazi 15 ambao ni walimu walezi wa watoto, nesi, Dereva wa shule na wengineo. Huu anadai ni mwanzo tu kwan anandoto ya kuja jenga mpaka chuo.
Pia anamiliki Daladala ya Ifunda - Iringa Mjini, Na baadhi ya boda boda zilizoko Mafinga, Ifunda na Iringa.

Je unataka jua zaidi nini Mgc Mtata anafanya kwa wakati huu, na amewezaje Mudu Miliki shule yenye dhamani ya zaidi ya 100Million? huku akiwa mjasiliamali wa kawaida tuu? Ungana nami kwa toleo lijalo la Mgc Mtata.

Kama imekugusa na umejifunza kitu waweza tutupia maoni yako kataka facebook, Selenga Kaduma
Au Mail, Selengakaduma@gmail.com
Ama unaweza tupigia kwa namba yetu +255 757 36 30 05.
Siku Njema.

Wednesday, August 14, 2013

Obby feat Q-Jay--Huwezi jua.mp3

Obby feat Q-Jay--Huwezi jua.mp3 

Kiukweli Obby (Obed Msigwa) aka Maphiyonso Hua naamin Hajawahi Fanya track Kali tena kama Hii Alofanya na QJ- wa Wakali Kwanza akati Huo Hajaokoka. Kama unabisha, fanyakama Unaichungulia hapa. Maon uscose kwa selengakaduma@gmail.com ama Ncheki kwa fb Selenga Kaduma. Miaaaah.

Friday, August 2, 2013