BIOGRAPHY YAWIKIHII: MJUE MWANDAAJI WA MUZIKI NOEL CHIPA ( CHIPA MAGNETO ) KATIKA MUZIKI.
Jina langu naitwa noel chipa, ama chipamagneto kamainavyojulikana kwa wengi ndilo jina nalotumia kwa wengi na ndilo jina nalotumia katika shughuli za kimuziki nilizaliwa January 01/1991 Ruvuma songeandipo nilipohitimu elimu ya msingi na sekondari baada ya kumaliza elimu ya sekondari 2008 nikajiunga na chuo cha RUAHAUNIVERSITYCOLLEGE kilichomo mkoani IRINGA na kusoma information technology{IT}
Nilianzakujifunza shughuli hiinikiwa na umriwamiaka 14,songea-RUVUMA ambaponilijipatiauzoefuhuo katika studio ya ps record. Baada ya haponikaendeleakufanyakazi na studio tofautiikiwemo bantu music ambakonilifanya hits mbalimbaliikiwemo KITENGO MAALUM ya mac mc ambayoalimshirikishagnako kwasasanafanya shughuli zangu katika studio ya SWAHILI INCOPERATION ambayoiko TEMEKE- DAR ES SALAAM
Kwa mawasilianopiga 0657661381 au 0657661382 au email directoramanzi@gmail.com
Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biography yako na mafansi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI
0 comments:
Post a Comment