KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Tuesday, January 29, 2013

FURAHA MTITU amekamlisha albam yake ya kwanza

HUYU NIMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA NYANDA ZA JUU KUSINI MKOA MPYA WA NJOMBE (LUDEWA) AMESHA MALIZA ALBAMU YAKE YA KWANZA YA AUDIO NA VIDEO INAYOITWA  ''BWANA YESU NISAIDIE''.......Imekamilika na nyimbo nane kwa manunuzi ya jumla na rejareja wasiliana nasi kwa : 0754 885 077 ...