KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, March 12, 2015

STD'z - MIDA INAYEYUKA ( New Audio )


Bofya HAPA kupakua wimbo mpya toka kwa STD'z ikiwa ni HipHop Category kwa jina MIDA INAYEYUKA toka @noizmekah Production Studios chini ya @defxtro, kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na STD'z kwa nambari +255 756 302 743 powered by www.selengakaduma.blogspot.com @vmgafrica www.vmgafrica.com #SupportYourOwn #vmgafrica

NEWS: TIZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA LA AJARI ILIOTOKEA MAFINGA TAR 11/03 NAKUUZA ZAIDI YA WATU 50


MKUU WA WILAYA YA MUFINDI ( Mwenye Kilemba Chekundu ) "MBONI MUHITA" AKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO.












MOJA WA MAJERUHI ALIELAZWA HOSPITALI YA WILAYA YA MUFINDI.




WANAJESH WA JWTZ NA JKT MAFINGA NDIO WALIO FANYA KAZI KUBWA YA UOKOZI WA MAJERUHI NA MIILI YA MAREHEMU ENEO LA TUKIO.