KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, March 30, 2015

BIOGRAPHY YA WIKI HII: MJUE PRODUCER MUNTU MUNTU ( Edwini Mujuni Kamuntu ) MKALI WA MIDUNDO YA HIPHOP.


Background information Birth name Edwin Mujuni Kamuntu Also known as Muntu Muntu Bby, The Amazing Sound Born March 23, 1988(age 27) Temeke, Dar es salaam City, Tanzania, Africa. Origin Bokoba, Kagera, Tanzania, Africa. Genres Hip hop Occupation(s) Rapper, record producer Years active 2005–present Labels Muntu Muntu music Lab,Tetemesha Entertainment, Tabasamu Music Distribution, Jam Vibe ,Inc., Home BoyEntertainment Associated acts Q-Bass O-Ten, Dulayo, Squezer,Late Geez Mabovu, , Stanna, Real Mc Edwin Mujuni Kamuntu (born March 23, 1988) better known by his stage nameMuntu Muntu Bby, is an African(Tanzania) rapper and record producer active in the late 2005s through the 2009s, best known for being the mentor of Muntu Muntu Bby. Muntu Muntu is also known as the Amazing sound through song called "The Amazing Sound" that featured a young Stanna in 2010. As The Muntu Muntu, he had success with his 2010single "Ahadi yangu Kwako" from the debut album Gangilonga Jeshi La Wokovu ft Squezer. Where he was credited as Muntu Muntu. He also produced the single "Touched by God" from Haleluya Hip Hop Band. Edwin Mujuni Kamuntu(kazaliwa March 23, 1988) Anafahamika zahidi kwajina la Muntu Muntu Bby,ni Mwafrica ( Tanzania) ni mwimbaji(rapper) na Mtayarishaji wa muziki(record producer) ameanza kazi ya muziki 2005s japo amejulikana zaidi kuanzia 2009s, Muntu Muntu anajulikana pia kwajina la Amazing sound kupitia winbo ulioitwa “Amazing Sound” alioshilikiana na mwanamuziki ajulikanae kwajina la Stanna in 2010.Kama muntu muntu alianza kupiga hatua baada ya kupata nafasi ya kushirikiana na wanamuziki ambao tayari washafahamika katika tasinia ya muzika kama vile Squezer, Dullayo, O-Ten, Tash, Bahati Bukuku,Boni Mwaitege,Balnaba,Late Mangwea,Lat Geez mabovu,Mau mwanadadapeke kutoka kikosi cha mizinga,Darasa pamoja na rapper Stamina. Muntu Muntu kwasasa Anafanya kazi chini ya Studio yake Mwanyewe Ijulikanayo kama Amazing Record iliyopo Mbeya .Chini ya usimamizi wa Manager Erick na wazamini kutoka RS-880 pia anafanya kazi zake na kampuni ya kutengeneza video ijulikanayo kama Rebirth Chini ya Direcor Andrew Kagusa. Mawasiliano Contact No, 0753-532877 0715-845421 0787119129 Email address edwinkamuntu@gmail.com kamuntuedwin@rocketmail.com Another contact Facebook Mujuni Kamuntu Whatsapp Muntu muntu (0715-845421) Instagram Mujuni kamuntu Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biography yako na mafasi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUN...

NEWS: MWANAMUZIKI LONKA TOKA IRINGA BAADA YA KUKOSA TUZO MWAKAJANA, KAPATA TENA SHAVU LAKUPENDEKEZWA KUWANIA TUZO ZA KTMA 2015


Namna ya Kumpigia kura lonka aingie kwenye tuzo za KTMA2015 kili awards kwa wimbo beautiful smile kama wimbo bora wa raggae kwa njia ya whatsapp 0686528813 #Tumia njia hii 👇 LONKA 1.WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL JINSI YA KUPENDEKEZA save hii no-0686528813 2. ukisha save namba unatuma sms kwenye ukurasa wako wa whatsapp kupitia iyo no uliyosave andika neno "KTMA " kisha send ilo neno 3. Wakikujibu unaandika sw 4. Mfano 26/06/1992 5. 14 Lonka-beautiful smile Tuma kila siku mara nyingi uwezavyo watumie marafiki wengine ili kusapoti huu mchongo #tunakushukuru Sent from my Sony Xperia™ smartphone

Sunday, March 29, 2015

GANE FT JOSE BRAIZ - USIENDE MBALI ( New Video )


Kutoka audio production mpaka video production Tizama ujio mpya wa director Emmo Da Pro kwenye tasinia mpya ya video chini ya kampuni yake mpya ya video ijulikanayo kama EVO PICTUERS alichokifanya kwa msanii Gane ft Jose Braiz - Usiende mbali.Mawasiliano ya EMMO DA PRO 0714000209

Saturday, March 28, 2015

CHINDO MAN & MOPLUS FT J-DEAL - FUNGUA KITABU ( New Audio )


kupakua ngoma ya Chindo @umbwax & Moplus @babawaukoo ft J-Deal @jdealmusic ikiwa ni HipHop Category kwa jina "Fungua Kitabu" mkono toka @noizmekah chini ya DX katika Studio Album kwa jina "HIP HOP NONDO" inayoendelea kurekodiwa hivi sasa na kupatikana mkito.com kwa mawasilano/mahojiano check na @defxtro powered by www.selengakaduma.blogspot.com, @vmgafrica #vmgafrica #SupportYourOwn

Friday, March 27, 2015

BEST NASSO - NITARUDI MOROGORO ( New Video )


Singer Name:- Best Nasso Song Name:- Nitarudi Morogoro Country;- Tanzania Genre;- Bongo Flavour Director:- Saimako Hi, I hope you're doing well. This is brand new Video from The Doctor Crew by Artist -Best Nasso track _ Nitarudi Morogoro We thanks for promoting us everyday.. God bless you... kwa Mawasiliano Zaidi ;- +255 712 545 472,+255 766 346 778

VANESSA MDEE FT KO - NOBODY BUT ME ( New Audio )


Wimbo mpya wa Vanessa Mdee akishirikisha K.O wa Afrika kusini umetengenezwa na Nahreel kwa ushirikiano wa Lunatic, (Producer wa S.A aliyetengeneza wimbo wa KO - Cara Cara) na mchango wa nyongeza kutoka kwa Master A ambaye ni maarufu nchini humo kwa kutengeneza ala za nguvu. Pakua hapa >

Monday, March 23, 2015

BIOGRAPHY YA WIKI HII: MJUE DIRECTOR MDOGO KULIKO WOTE WA VIDEO TOKA IRINGA NICKLASS MBAGA


Nicklass Mbaga (Born in 27th March 1994) is a Tanzanian director, cinematographer and photographer. He was raised in Dodoma where he also attended his primary and secondary school. His journey to his dream career started in 2008 when he started designing logos and graphics for himself which later brought the fun intobusiness as he decided to design logos for T-shirts and sold them. In 2012, he was employed as a photographer and editor at Dodoma Classic Photo Lab, one of the biggest photo studios in his Dodoma. On his personal time he directed few videos for different artists and this led to his video making knowledge and experience, it’s in this year he officially started his directing career. He worked for 9 months and moved to Iringa in October 2012 for college. Since 2013, he has directed more than 10 videos for different artists including the hit song “Nishauri” perfomed by Mabeste, “Barua Kwa Diamond” performed by Meda, “Hi Haters” performed by Reuben Jr. and “Real Love” performed by Ibrah and which were received well by the audience.His uniqueness in ideas, directing, shooting and editing makes him one of the most promising directors in the industry.As a photographer he worked as an official photographer for Member of Parliament for Iringa Urban Constituency, Mr. Msigwa Simon Peter in 2014 and as fashion photographer at Malkia Collection clothing line from 2013-2014. He is currently living in Iringa where he is persuing Information and Technology studies and running his own company IMAGE NATION, a photography and videography company. Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biografi yako na mafasi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI Contacts: Nicklass Mbaga Mobile Phone: +255 752 850 612 Instagram: @nicklassm Facebook: Nickscana Lacavela YouTube Channel: Nicklass Mbaga

MR TX FT ODIIJAMBO - KILILILII ( New Audio )


kupakua ngoma ya "Mr Tix" toka TLST crew yenye maskani pande za Mianzini Arusha akiwa amemshirikisha @Odiijambo toka Jambo Squad katika Ngoma kwa jina "Kilililii" ikiwa ni mkono toka @noizmekah chini ya @defxtro, kwa mawasilano/mahojiano zaidi check kwa Nambari +255 762 164 241 powered by www.selengakaduma.blogspot.com, @vmgafrica @noizmekah #SupportYourOwn --

JOMLA RYDER - KAZA KISABUNI ( New Audio )


kupakua wimbo kwa jina "Kaza Kisabuni" toka kwa Jomla Ryder ikiwa ni mkono wa Producer Jose Blaize na mixing pande za Noizmekah Studios chini ya @defxtro, kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na JOMLA RYDER kwa nambari +255 752 022 108 powered by www.selengakaduma.blogspot.com @vmgafrica @defxtro @noizmekah #SupportYourOwn --

MWAKA MZIMA FT DAVIZO & MWIRORA - MUMYLOO ( New Audio )


kupakua wimbo kwa jina "Mumyloo" toka kwa "Mwaka Mzima ft Davizo & Mwiro ikiwa ni mkono toka Kalizone chini ya Goncher, kwa mawasiliano/mahojiano zaidi na MWAKA MZIMA check nae kwa nambari +255 755 466 060 powered by www.selengakaduma.blogspot.com @vmgafrica @defxtro @mkitodotcom #SupportYourOwn --

Sunday, March 22, 2015

Mandela the Sniper ft Zax 4real - Pata Nuru ( Audio )

artist from iringa mwenye dreams ya kuipeperusha bendera ya iringa national wides WIMBO: POATA NURU. STUDIO:BANTU RECORD (BEAT) AND GREEN RECORD (VOCAL) CONTACT:0759340650 0713423646 0687263293 EMAIL:mandelamdindile@gmail.com FACEBOOK: mandela mdindile. PLACE: IRINGA.

JOKATE FT ICE PRINCE - LEO LEO ( New Audio )


Katika siku yake ya kuzaliwa, Jokate Mwegelo ameamua kuachia suprise ya nguvu kwa wapenzi wa muziki Tanzania baada ya kushirikiana na nguli wa Hip Hop nchini Nigeria, Ice Prince na kutengeneza Mkito Mpya wenye miondoko ya Afro Pop alioupatia jina LEO LEO! Mkito huu umetayarishwa na Aloname na Tudd Thomas Jikite hapa

Friday, March 20, 2015

Thursday, March 19, 2015

K-BOY FT MOH SNECKO - WHY ME ( New Audio )


kupakua wimbo wa "K-boy akimshirikisha "MohSnecko" katika HipHop Category kwa jina "Why Me" toka @noizmekah mkono wa producer @defxtro kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na K BOY kwa nambari +255 762 841 938 powered by www.selengakaduma.blogspot.com, www.vmgafrica.com #SupportYourOwn --

CLASSIC BOYZ LEGEND - TUCHEZE UKUTI ( New Audio )


upakua wimbo wa kundi chipukizi la "Classic Boyz Legend" katika BongoFlava Category kwa jina "Tucheze Ukuti" na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check nao kwa nambari +255 712 017 640 au +255 0768 368 293 au +255 652 710 947 powered by www.selengakaduma.blogspot.com, www.vmgafrica.com #SupportYourOwn --

Tuesday, March 17, 2015

DOCUMENTARY: IJUE SAMPAMBA MUSIC ( Audio Studio Production ) ILIKOTOKA NAILIPO SASA KWA DK 7.


kwamawasiliano na Sampamba Music/ mwasile unaweza mtafuta kupitia hapa 0763231052 email ni sampamba59@gmail.com Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Documentary yako na mafansi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI.

Monday, March 16, 2015

BIOGRAPHY YAWIKI HII: MJUE PRODUCER NA MMILIKI WA SAMPAMBA MUSIC IRINGA HAPA...


Jina langu naitwa paulo timoth mwasile [Sampamba ] ni mama yangu aliye nizaa na ndiye aliye nifundisha mziki.Nimefungua studio yangu mwaka 2013 na Imetimiza miaka miwili sasa na inapatikana mjini iringa mimi ndio mmiliki wa studio nikisaidiana na ndugu wa karibu kuiendesha .nimefanya hiti moja nyimbo ya meda barua kwa diamond.Nimesoma mpaka form six shule ya secondari mwembetogwa iringa .elimu ya mziki nimepata Ujerumani coz ya miezi sita.asante kwamawasiliano na Sampamba Music/ mwasile unaweza mtafuta kupitia hapa 0763231052 email ni sampamba59@gmail.com Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biografi yako na mafasi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

AkiliMali-Swagger Zake (Official Video)


Follow @akilimali_prezdar & watch the official video "Swagger Zake" audio by @defxtro and Video directed by @iamsamtimber huku baadhi ya vipande @innomafuru pamoja na @travellah Bofya HAPA https://youtu.be/rlZGJGFohnA kutazama Video hii ya dancehall toka Arusha Mjini Pamoja Na eneo la Mto wa Mbu, wameshiriki Dancers kama Shontelle na Video Queen Glory a.k.a Bby Cruiz anayekuja kwa kasi katika Video Industry, pia pata audio HAPA https://mkito.com/song/swagger-zake/2521 na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Akilimali Prezdar kwa Nambari +255767955405 powered by www.selengakaduma.blogspot.com @vmgafrica @mkitodotcom www.vmgafrica.com #supportafricanartists #vmgafrica #SupportYourOwn

Sunday, March 15, 2015

OMMY DIMPOZ - WANJERA ( New Video )


Here is the new Ommy Dimpoz video for the new smash hit called "Wanjera" which was directed by Godfather Production.The Video was shot on location in Johannesburg, South Africa, and features cameos from Tanzanian Superstar actress Wema Sepetu and Big Brother Hotshot winner, Idris Sultan. The song was Produced by Manwater (Combination Sound).

GILLIE FT GARMA WA TOWN - HAUSOMEKI ( New Audio )


kupakua wimbo wa "Nester Gillie" akimshirikisha "Garma wa Town" katika ngoma kwa jina "Haisomeki",kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na NESTER GILLIE kwa nambari +255 756 276 135 powered by www.selengakaduma.blogspot.com @noizmekah www.vmgafrica.com @vmgafrica #vmgafrica

Friday, March 13, 2015

PAPAA MAFIDO - TUNAFANYAGA ( New Audio )


kupakua Tunafanyanga na HAPA https://mkito.com/artist-profile/papaa-mafido/6559 kwa Nyimbo zote za "Papaa Mafido"na kwa mawasiliano mahojiano zaidi check na Papaa Mafido kwa nambari +255 763737 287 powered by www.selengakaduma.blogspot.com @vmgafrica @defxtro #SupportYourOwn www.vmgafrica.com --

RAS P FT AZMA MPONDA - KWA HII SANAA ( New Audio )



kupakua wimbo wa Ras P ft Azma Mponda "Kwa Hii Sanaa" ikiwa ni HipHop category toka Cukaz Beats chini ya Producer Justinoo, kwa mawasiliano mahojiano zaidi check na RAS P kwa nambari +255 767 174 591 au +255 657 361 630 powered by www.selengakaduma.blogspot.com @vmgafrica @defxtro #SupportYourOwn www.vmgafrica.com ---

COMING SOON YAWIKI HII INATOKA KWA MWANAMUZIKI SADY BROWN ( Video )


TIZAMA KIPANDE CHA VIDEO YA MWANAMUZIKI DADY BROWN KILICHO FANYWA NA DIRECTOR SAMMY ALLY TOKA MAFINGA IRINGA. HIVI PUNDE VIDEO HIO KALI INATARAJI, INGIA MTAAN. UTAKUA WAKANZA KUIPATA KUPITIA UKURASA HUU. Ungana nami hapa kila siku ili kua wakwanza kupata Coming Soon za Kila kitu. Kama Ni mwanasanaa na Una Coming Soon yeyote ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI

JAJI DE CLASSIC - WANATALK ( New Audio )


Kupakua wimbo wa Jaji De Classic "WANA TALK" ikiwa ni dancehall category toka @noizmekah chini ya @defxtro, kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na JAJI DE CLASSIC kwa nambari +255 784 299 267 powered by www.selengakaduma.blogspot.com @vmgafrica #SupportYourOwn #vmgafrica

Thursday, March 12, 2015