BIOGRAPHY YAWIKI HII: MJUE PRODUCER NA MMILIKI WA SAMPAMBA MUSIC IRINGA HAPA...
Jina langu naitwa paulo timoth mwasile [Sampamba ] ni mama yangu aliye nizaa na ndiye aliye nifundisha mziki.Nimefungua studio yangu mwaka 2013 na Imetimiza miaka miwili sasa na inapatikana mjini iringa mimi ndio mmiliki wa studio nikisaidiana na ndugu wa karibu kuiendesha .nimefanya hiti moja nyimbo ya meda barua kwa diamond.Nimesoma mpaka form six shule ya secondari mwembetogwa iringa .elimu ya mziki nimepata Ujerumani coz ya miezi sita.asante
kwamawasiliano na Sampamba Music/ mwasile unaweza mtafuta kupitia hapa
0763231052 email ni sampamba59@gmail.com
Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biografi yako na mafasi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUNI
0 comments:
Post a Comment