NEWS: MWANAMUZIKI LONKA TOKA IRINGA BAADA YA KUKOSA TUZO MWAKAJANA, KAPATA TENA SHAVU LAKUPENDEKEZWA KUWANIA TUZO ZA KTMA 2015
Namna ya Kumpigia kura lonka aingie kwenye tuzo za KTMA2015 kili awards kwa wimbo beautiful smile kama wimbo bora wa raggae kwa njia ya whatsapp 0686528813 #Tumia njia hii 👇
LONKA
1.WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL
JINSI YA KUPENDEKEZA save hii no-0686528813
2. ukisha save namba unatuma sms kwenye ukurasa wako wa whatsapp kupitia iyo no uliyosave andika neno "KTMA " kisha send ilo neno
3. Wakikujibu unaandika sw
4. Mfano 26/06/1992
5. 14 Lonka-beautiful smile
Tuma kila siku mara nyingi uwezavyo watumie marafiki wengine ili kusapoti huu mchongo #tunakushukuru
Sent from my Sony Xperia™ smartphone
0 comments:
Post a Comment