VANESSA MDEE FT KO - NOBODY BUT ME ( New Audio )
Wimbo mpya wa Vanessa Mdee akishirikisha K.O wa Afrika kusini umetengenezwa na Nahreel kwa ushirikiano wa Lunatic, (Producer wa S.A aliyetengeneza wimbo wa KO - Cara Cara) na mchango wa nyongeza kutoka kwa Master A ambaye ni maarufu nchini humo kwa kutengeneza ala za nguvu.
Pakua hapa >
0 comments:
Post a Comment