KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Sunday, March 22, 2015

JOKATE FT ICE PRINCE - LEO LEO ( New Audio )


Katika siku yake ya kuzaliwa, Jokate Mwegelo ameamua kuachia suprise ya nguvu kwa wapenzi wa muziki Tanzania baada ya kushirikiana na nguli wa Hip Hop nchini Nigeria, Ice Prince na kutengeneza Mkito Mpya wenye miondoko ya Afro Pop alioupatia jina LEO LEO! Mkito huu umetayarishwa na Aloname na Tudd Thomas Jikite hapa

0 comments:

Post a Comment