BIOGRAPHY YA WIKI HII: MJUE PRODUCER MUNTU MUNTU ( Edwini Mujuni Kamuntu ) MKALI WA MIDUNDO YA HIPHOP.
Background information
Birth name Edwin Mujuni Kamuntu
Also known as Muntu Muntu Bby, The Amazing Sound
Born March 23, 1988(age 27)
Temeke, Dar es salaam City, Tanzania, Africa.
Origin Bokoba, Kagera, Tanzania, Africa.
Genres
Hip hop
Occupation(s) Rapper, record producer
Years active 2005–present
Labels
Muntu Muntu music Lab,Tetemesha Entertainment, Tabasamu Music Distribution, Jam Vibe ,Inc., Home BoyEntertainment
Associated acts Q-Bass O-Ten, Dulayo, Squezer,Late Geez Mabovu, , Stanna, Real Mc
Edwin Mujuni Kamuntu (born March 23, 1988) better known by his stage nameMuntu Muntu Bby, is an African(Tanzania) rapper and record producer active in the late 2005s through the 2009s, best known for being the mentor of Muntu Muntu Bby. Muntu Muntu is also known as the Amazing sound through song called "The Amazing Sound" that featured a young Stanna in 2010. As The Muntu Muntu, he had success with his 2010single "Ahadi yangu Kwako" from the debut album Gangilonga Jeshi La Wokovu ft Squezer. Where he was credited as Muntu Muntu. He also produced the single "Touched by God" from Haleluya Hip Hop Band.
Edwin Mujuni Kamuntu(kazaliwa March 23, 1988) Anafahamika zahidi kwajina la Muntu Muntu Bby,ni Mwafrica ( Tanzania) ni mwimbaji(rapper) na Mtayarishaji wa muziki(record producer) ameanza kazi ya muziki 2005s japo amejulikana zaidi kuanzia 2009s, Muntu Muntu anajulikana pia kwajina la Amazing sound kupitia winbo ulioitwa “Amazing Sound” alioshilikiana na mwanamuziki ajulikanae kwajina la Stanna in 2010.Kama muntu muntu alianza kupiga hatua baada ya kupata nafasi ya kushirikiana na wanamuziki ambao tayari washafahamika katika tasinia ya muzika kama vile Squezer, Dullayo, O-Ten, Tash, Bahati Bukuku,Boni Mwaitege,Balnaba,Late Mangwea,Lat Geez mabovu,Mau mwanadadapeke kutoka kikosi cha mizinga,Darasa pamoja na rapper Stamina.
Muntu Muntu kwasasa Anafanya kazi chini ya Studio yake Mwanyewe Ijulikanayo kama Amazing Record iliyopo Mbeya .Chini ya usimamizi wa Manager Erick na wazamini kutoka RS-880 pia anafanya kazi zake na kampuni ya kutengeneza video ijulikanayo kama Rebirth Chini ya Direcor Andrew Kagusa.
Mawasiliano
Contact No,
0753-532877
0715-845421
0787119129
Email address
edwinkamuntu@gmail.com
kamuntuedwin@rocketmail.com
Another contact
Facebook Mujuni Kamuntu
Whatsapp Muntu muntu (0715-845421)
Instagram Mujuni kamuntu
Kama Ni mwanasanaa na Unataka share Biography yako na mafasi wa ukurasa huu, ama Update yeyote unaweza tutumia hapa selengakaduma@gmail.com ASANTE NA KARIBUN...
0 comments:
Post a Comment