KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Thursday, May 21, 2015

DOCUMENTARY: KAMA ULIPITWA NA ALICHOKIFANYA IZZO B HOME SWEET HOME MBEYA 5/4/2015 HIKI HAPA

Bizness All Day(B.A.D) inakuletea Documentary ya Show ya Izzo Bizness (Home Sweet Home Concert) iliyofanyika katika ukumbi wa THE VIBE CLUB Mbeya,Tanzania tarehe 05/04/2015.Directed by Nicklass.

Tuesday, May 19, 2015

SKTV: IKIWA 20 MAY SIKU YAKUADHIMISHA KUZALIWA BLOGGER SELENGA KADUMA AITAMBULISHA LOGO YA TV YAKE.


20 MAY MILELE
20 MAY ITABAKI KUA NI SIKU MUHIMU SAANA KWA BLOGGER SELENGA KADUMA ( Mwendeshaji na mmiliki wa Blog hii www.selengakaduma.blogspot.com ). HII NI SIKU AMBAYO HUA ANADHIMISHA KUZALIWA KWAKE KILA MWAKA AMBAYO NIMOJA YASIKU MUHIMU SANA KATIKA KUMBUKUMBU ZAMAISHA YAKE. SIKU HII INAAMBATANA NA WATU MAARUFU WANAOADHIMISHA KUZALIWA NAYE KAMA MWANAMUZIKI BUSTA RYMES TOKA MAREKANI, LAKINI PIA ALIO ZALIWA NAO SIKU MOJA MWEZI MMOJA MWAKA MMOJA NI LALA BROWN (Alikua Mwanamuziki toka Marekani alifariki mwaka 2007 R.I.P), NA DEXTER BLACKSTOCK ( English footboller yupo mpaka sasa) LAKINI KWA TANZANIA ALIKUA MAREHEMU MH MBUNGE AMINA CHIFUPA ( R.I.P ) PIA LEO KAMA SIKU YAKE YAKUZALIWA, AMEAMUA WATAMBULISHIA LOGO YAKE INAYOTEGEMEWA ANZA TUMIKA HIVI PUNDE KWENYE TV ITAKAYO KUA IKIRUSHWA KUPITIA BLOG HII ONLINE KWA MSAADA WA MTANDAO WA YOUTUBE.COM TV HIO ITATARAJI ITWA SKTV, NA ITAHUSIANA NAMAMBO MBALIMBALI YASANAA, TEKNOLOJIA, UTAMBUZI MFICHO, NAMAMBO KADHA WAKADHA. LOGO HII IMEDIZAINIWA NAKUTENGENEZWA NA DIRECTOR SAMMY ALLY PAMOJA NA SELENGA KADUMA. NILINI TV ITAANZA RUSHA VIPINDI VYAKE HAPA?, ENDELEA KUTEMBELEA UKURASA WETU HAPA HAPA MTAJUZWA. SHUKRANI ZA DHATI ZIMWENDEE MAMA ANGU MZAZI ENEYA MLYUKA ( Alie nizaa nakunilea ), BABA MZAZI MANASE KADUMA ( Kwakunilea Mpaka Leo ), DOGO SCOPY AKA FRESH ANDY ( Kwamawazo na Idea Pevu Katika Ubunifu wavitu vingi kwanye huu ukurasa ), DIRECTOR SAMMY ALLY ( Kwa kudizain Logo Hiiya SKTV ), YOELI MRISHO, PAMOJA NA NDUGU JAMAA NAMARAFIKI WOOTE WANAO TUSAIDI KIMAWAZO UBUNIFU NAUSHARI PIA KATIKA KUENDESHA UKURASA HUU. MWISHO NA KIPEKE KABISA ASHUKURIWA MWENYEZI MUNGU KWAKUNIFANYA HAI MPAKA SIKU HII YALEO HATA KAMA BADO KIAFYA SIPO SAWA TANGU JANUARY 07 MWAKA HUU NILIPO PATA AJARI. LAKINI NAMSHUKURU KANIWEZESHA MPAKA SASA NAIENDESHA BLOG HII BILA KUKOMA NIKI BADO NIMELALA KITANDANI. KWAMAONI NAUSHAURI AMA MASWALI JUU YA BLOG YETU HII WASILIANA NASI MOJA KWAMOJA KUPITIA +255757363005.

STEVE KING - GIVE ME A PROMISE ( New Audio )


Kupakua wimbo wa Steve King kwa jina "Give Me A Promise" na kwa Mawasiliano/mahojiano zaidi check nae kwa nambari +255 717 722 331 powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @ batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn Kupakua wimbo wa Steve King kwa jina "Give Me A Promise" na kwa Mawasiliano/mahojiano zaidi check nae kwa nambari +255 717 722 331 powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @man_batoo @j4cinyo @shuttupdeejayz @fredyse1 @djhaazu @ batooentertainment @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn

Sunday, May 17, 2015

Friday, May 15, 2015

Vanessa Mdee, Victoria Kimani, Yemi Alade - STRONG GIRL ( New Video )


aladee ‘Strong Girl‘ ni wimbo wa pamoja ulioimbwa na mastaa wa kike kutoka Afrika ambao wameungana pamoja kupambana na umaskini kwa wasichana na wanawake katika jamii. Miongoni mwa mastaa waliopo kwenye wimbo huo ni pamoja na Vanessa Mdee (Tanzania), Victoria Kimani (Kenya), Waje (Nigeria), Yemi Alade (Nigeria), Semor Mtukudzi (Zimbabwe), Gabriella (Mozambique), Arriele T (Gabon) na binti wa miaka 14 kutoka Afrika Kusini Blessing. Mbali na hao pia mwigizaji kutoka Nollywood Omotola Jalade pia ameonekana ndani ya video hiyo. Nakukaribisha hapa kuitazama…

Thursday, May 14, 2015

CLASSIC BOYZ LEGEND - TUCHEZE UKUTI ( New Audio )


kupakua wimbo wa Classic Boyz Legend kwa jina UKUTI na HAPA https://www.youtube.com/watch?v=rWZ0TLhUqlg Kutazama Video directed by @iamsamtimber powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn --

DE SHINEST - YOU'RE YES ( New Audio )


kupakua wimbo wa Msanii Chipukizi "De Shinest" kwa jina la "Your'e Yes" na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na De Shinest Kwa nambari +255 686 367 983 or +255 763 616 972 powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn --

Wednesday, May 13, 2015

Saturday, May 9, 2015

P-CULTURE - DREAM LAND ( New Audio )


kupakua wimbo wa P CULTURE kwa jina "Dream Land" na kwa mawasilano/mahojiano zaidi check nae kwa nambari +255 Where there is Unity! There is Community and where there is Love there is Unity! powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn --

Monday, May 4, 2015

DAX KICHOMI - NAANDIKA ( New Audio )


Kupakua wimbo wa "DAX Kichomi" kwa jina "Naandika" ikiwa ni Hiphop Category,Kwa mahojiano/Mawasiliano zaidi check nae kwa nambari +255 718 229 407 powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn --

KING BOY FT SPONSA JAY - TUNALEWA ( New Audio )


kupakua wimbo wa "KingBoy" akimshirikisha "Sponsa Jay" kwa jina "Tunalewa" ikiwa ni Dancehall Category,kwa mawasilano/mahojiano check na KingBoy kwa Nambari +255 766 824 341 powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn

Sunday, May 3, 2015

KAI & ZUFI FT DIPPER - USAWA ( New Audio )


kupakua wimbo wa Kai & Zufi wakimshirikisha mwanadada @Dippervato ngoma inakwenda kwa jina "Usawa" toka @noizmekah chini ya @defxtro,kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na KAI & ZUFI kwa nambari +255 713 283 004 powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn --

Malfred ft Denzol International-Kwanini ( New Video )



Kuwa wa kwanza kuangalia na Kupakua wimbo mpya "KWANINI"wa Malfred ft Denzo International kutoka Uganda(Gagamel Crew),YouTube link hapa http://youtu.be/6u-JsLCjD3E Audio Mkito link hapa: https://mkito.com/song/kwanini/14195 Follow @malfredtz bonyeza link kwa Biography yake instagram, Powered by @Malfredtz @vmgafrica @Defxtro @fresh120media @johnbgrand @mkitodotcom #vmgafrica #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @BatooEntertainment #Onelove #Oneheart #SupportYourOwn

RG Unit-Broken Heart ( New Audio )


kupakua wimbo wa RG Unit kwa jina "Broken Heart" ikiwa ni RnB Category chini ya @defxtro pande za @noizmekah, kwa mawasilano/mahojiano zaidi check na RG UNIT kwa nambari +255 765 079 680 au +255 762 238 525 powered by @vmgafrica #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com #SupportYourOwn

NEW: Ben Pol Asaini Mkataba na Pana Music Ltd


Tanzanian leading music act, Ben Pol, signed a long term management contract with Panamusiq, a recently established artist management company based in Dar es Salaam.

Ben is an award winning singer and songwriter mainly prolific with R&B tunes that have always graced the top tables of Tanzanian radio charts. His last production, “Sophia”, is currently on the highest rank of most notable charts. Other well known hits from this “Dodoma boy” are “Jikubali”, “Samboira”, “Unanichora” feat. Joh Makini and “Maneno” to name few out of a long catalogue of music from this Bongo talent.

His latest video of “Sophia” enjoys huge popularity on the net with over 91,000 views in its first 7 days on YouTube. Video link: https://youtu.be/81i3dybXK8U

Panamusiq, established in mid 2014, provides innovative management services to African artists to develop their talent in fully exploitable brand value. Panamusiq most remarkable achievements have been accomplished with its previously managed Tanzanian music star Vanessa Mdee. More notably: a) Brand Ambassadorship deal with Samsung Electronics; b) Product Placement by Crown Paints Kenya for the production of Hawajui Video (this was a first for a Tanzanian artist); c) Signing of a records deal with Kult Records, NYC (www.kult.com) for “Come Over”.
The new partnership aims at developing Ben Pol into a sustainable global brand and consolidating his fame in Tanzania and across Africa. We expect to realize this plan through the production of great music, highly professional services and the co-operations with global brands and international music industry players.

For more info: info@panamusiq.com or +255784172291

powered by www.selengakaduma.blogspot.com @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com  @defxtro #SupportYourOwn

James Mogoile-Ongea nae (Gospel)


Kwa Wapenzi wa Gospel Music Bofya HAPA http://goo.gl/Pf2f5r kupakua wimbo wa Mogo Family ikiwakilishwa na James Mogoile, na kwa mawasilano zaidi check nae kwa nambari +255 752 887 164 powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn

BOB JULIE - NCHI TAMU ( New Audio )


kupakua Reggae Song "NCHI TAMU" toka kwa @bobjulietz ambaye kwa sasa ameweka kambi Mjini Moshi pale Malindi Club akiwa kama Lead Vocalist & Sound Engineer wa Reggae Band, kwa mahojiano/mawasilano zaidi check nae kwa nambari +255 655 023 423 au +255 756 223 423 powered by @vmgafrica @noizmekah #vmgafrica @j4cinyo @fredyze1 @djhaazu @mkitodotcom www.vmgafrica.com @defxtro #SupportYourOwn

HISIA - KEEP YOU WARM ( New Audio )


Mshindani aliyewakilisha Tanzania vyema sana katika mashindano ya Tusker Project Fame HISIA anakuja na wimbo wake mpya uitwao KEEP YOU WARM. Hisia ambaye kazi nyingi amezifanya katika mfumo wa Soul amehama katika wimbo huu na kuingia katika reggae. Wimbo huu umerekodiwa nchini Kenya chini ya producer MG. Pakua wimbo hapa

KCK - BANG BENG ( New Audio )


kupakua Wimbo wa "Bang Beng" toka kwa KCK Supremacy @dawgspac @booxkck @kcksupremacy ikiwa ni #hiphop category toka @noizmekah chini ya @defxtro kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na KCK Supremacy kwa nambari +255 765 022 224 au +255 754 970 956 powered by @vmgafrica @j4cinyo @djhaazu @fredyze1 @mkitodotcom #supportyourown

NEWS: PICHA ZAKWENYE TUZO ZA MUFINDI MEDIA GROUP, BLOG YETU YASHINDA YAWA BLOG BORA KUTOKA MUFINDI

FRESH ANDY KAMA MC AKIWA JUKWAANI, TAR 1 KUSHEREHESHA

BAADH YA VIONGOZI WAKIKUNDI CHASANAA MKULIMA COLLAGE TOKA MAFINGA WALIO SIMAMIA ZOEZI LAUZINDUZI WAFILAMU YAO YA KISU CHAMAMA AMBAYO ILIZINDULIWA SIKU HIO PIA MJINI MAFINGA.

UKUMBI WA GARDEN PARK MAFINGA AMBAO LILIFANYIKA TUKIO LA UGAWAJI WATUZO MBALIMBALI NA UZINDUZI WAFILAMU HIO.

MOS, MOJA YAWANAMUZIKI TOKA MAFINGA AKITUMBUIZA JUKWAANI.

NYANJE NAE HAKUA MBALI KUTUMBUIZA JUKWAANI KAMA MOJA YA WANAMUZIKI TOKA MAFINGA

BACK STAGE YA VIP AKIWEMO TENYA MSHIND WA DIRECTOR BORA WA VIDEO  TOKA WILAYANI MUFINDI, NA MSHINDANI WA BLOG DJ NYASI ALIEKUA AKIWANIA TUZO PIA YABLOG BORA ( mwenye shat lakitenge )

TENYE NA DOGO SCOPY PIA WALIPATA NAFASI YAKUWATUMBUIZIA MASHABIKI.

VIKUNDI MBALIMBALI PIA VYASAANAA VILIHUSIKA

DIRECTOR SAMMY ALLY AKIWA BACK STAGE KWAMAANDALIZI YAKUSHOOT TUKIO ZIMA.


STINNO BYEBEE UP COMMING RAPPER MKALI SAANA ALIKUAPO ENEO LATUKIO BILA KUKOSA. ( alikua photographer wetu sIku hio )

MGENI RASMI WILLIUM MUNGAI AKIGAWA TUZO KWAWASHIRIKI

TUZO YA BLOG BORA ILIKWENDA KWA SELENGA KADUMA KAMA MSHINDI WA BLOG BORA TOKA WILAYANI MUFINDI  www.selengakaduma.blogspot.com INAYO SUPPORT SANAA NA WASANII HASA WACHANGA T OKA NYUMBANI. IKIWA IMESHIKWA NAWADAU WALIO IPOKE KWAKUA MUHUSIKA HAKUAPO KUIPOKEA ENEO LA TUKIO KUTOKANA NAMATATIZO YAKIAFYA YANAYOMWANDAMA MPAKA SASA.