| FRESH ANDY KAMA MC AKIWA JUKWAANI, TAR 1 KUSHEREHESHA |
| BAADH YA VIONGOZI WAKIKUNDI CHASANAA MKULIMA COLLAGE TOKA MAFINGA WALIO SIMAMIA ZOEZI LAUZINDUZI WAFILAMU YAO YA KISU CHAMAMA AMBAYO ILIZINDULIWA SIKU HIO PIA MJINI MAFINGA. |
| UKUMBI WA GARDEN PARK MAFINGA AMBAO LILIFANYIKA TUKIO LA UGAWAJI WATUZO MBALIMBALI NA UZINDUZI WAFILAMU HIO. |
| MOS, MOJA YAWANAMUZIKI TOKA MAFINGA AKITUMBUIZA JUKWAANI. |
| NYANJE NAE HAKUA MBALI KUTUMBUIZA JUKWAANI KAMA MOJA YA WANAMUZIKI TOKA MAFINGA |
| BACK STAGE YA VIP AKIWEMO TENYA MSHIND WA DIRECTOR BORA WA VIDEO TOKA WILAYANI MUFINDI, NA MSHINDANI WA BLOG DJ NYASI ALIEKUA AKIWANIA TUZO PIA YABLOG BORA ( mwenye shat lakitenge ) |
| TENYE NA DOGO SCOPY PIA WALIPATA NAFASI YAKUWATUMBUIZIA MASHABIKI. |
| VIKUNDI MBALIMBALI PIA VYASAANAA VILIHUSIKA |
| DIRECTOR SAMMY ALLY AKIWA BACK STAGE KWAMAANDALIZI YAKUSHOOT TUKIO ZIMA. |
| STINNO BYEBEE UP COMMING RAPPER MKALI SAANA ALIKUAPO ENEO LATUKIO BILA KUKOSA. ( alikua photographer wetu sIku hio ) |
| MGENI RASMI WILLIUM MUNGAI AKIGAWA TUZO KWAWASHIRIKI |





0 comments:
Post a Comment