SKTV: IKIWA 20 MAY SIKU YAKUADHIMISHA KUZALIWA BLOGGER SELENGA KADUMA AITAMBULISHA LOGO YA TV YAKE.
20 MAY ITABAKI KUA NI SIKU MUHIMU SAANA KWA BLOGGER SELENGA KADUMA ( Mwendeshaji na mmiliki wa Blog hii www.selengakaduma.blogspot.com ). HII NI SIKU AMBAYO HUA ANADHIMISHA KUZALIWA KWAKE KILA MWAKA AMBAYO NIMOJA YASIKU MUHIMU SANA KATIKA KUMBUKUMBU ZAMAISHA YAKE. SIKU HII INAAMBATANA NA WATU MAARUFU WANAOADHIMISHA KUZALIWA NAYE KAMA MWANAMUZIKI BUSTA RYMES TOKA MAREKANI, LAKINI PIA ALIO ZALIWA NAO SIKU MOJA MWEZI MMOJA MWAKA MMOJA NI LALA BROWN (Alikua Mwanamuziki toka Marekani alifariki mwaka 2007 R.I.P), NA DEXTER BLACKSTOCK ( English footboller yupo mpaka sasa) LAKINI KWA TANZANIA ALIKUA MAREHEMU MH MBUNGE AMINA CHIFUPA ( R.I.P )
PIA LEO KAMA SIKU YAKE YAKUZALIWA, AMEAMUA WATAMBULISHIA LOGO YAKE INAYOTEGEMEWA ANZA TUMIKA HIVI PUNDE KWENYE TV ITAKAYO KUA IKIRUSHWA KUPITIA BLOG HII ONLINE KWA MSAADA WA MTANDAO WA YOUTUBE.COM TV HIO ITATARAJI ITWA SKTV, NA ITAHUSIANA NAMAMBO MBALIMBALI YASANAA, TEKNOLOJIA, UTAMBUZI MFICHO, NAMAMBO KADHA WAKADHA. LOGO HII IMEDIZAINIWA NAKUTENGENEZWA NA DIRECTOR SAMMY ALLY PAMOJA NA SELENGA KADUMA. NILINI TV ITAANZA RUSHA VIPINDI VYAKE HAPA?, ENDELEA KUTEMBELEA UKURASA WETU HAPA HAPA MTAJUZWA.
SHUKRANI ZA DHATI ZIMWENDEE MAMA ANGU MZAZI ENEYA MLYUKA ( Alie nizaa nakunilea ), BABA MZAZI MANASE KADUMA ( Kwakunilea Mpaka Leo ), DOGO SCOPY AKA FRESH ANDY ( Kwamawazo na Idea Pevu Katika Ubunifu wavitu vingi kwanye huu ukurasa ), DIRECTOR SAMMY ALLY ( Kwa kudizain Logo Hiiya SKTV ), YOELI MRISHO, PAMOJA NA NDUGU JAMAA NAMARAFIKI WOOTE WANAO TUSAIDI KIMAWAZO UBUNIFU NAUSHARI PIA KATIKA KUENDESHA UKURASA HUU. MWISHO NA KIPEKE KABISA ASHUKURIWA MWENYEZI MUNGU KWAKUNIFANYA HAI MPAKA SIKU HII YALEO HATA KAMA BADO KIAFYA SIPO SAWA TANGU JANUARY 07 MWAKA HUU NILIPO PATA AJARI. LAKINI NAMSHUKURU KANIWEZESHA MPAKA SASA NAIENDESHA BLOG HII BILA KUKOMA NIKI BADO NIMELALA KITANDANI. KWAMAONI NAUSHAURI AMA MASWALI JUU YA BLOG YETU HII WASILIANA NASI MOJA KWAMOJA KUPITIA +255757363005.
0 comments:
Post a Comment