Mshindani aliyewakilisha Tanzania vyema sana katika mashindano ya Tusker Project Fame HISIA anakuja na wimbo wake mpya uitwao KEEP YOU WARM. Hisia ambaye kazi nyingi amezifanya katika mfumo wa Soul amehama katika wimbo huu na kuingia katika reggae. Wimbo huu umerekodiwa nchini Kenya chini ya producer MG. Pakua wimbo hapa
HISIA - KEEP YOU WARM ( New Audio )
Mshindani aliyewakilisha Tanzania vyema sana katika mashindano ya Tusker Project Fame HISIA anakuja na wimbo wake mpya uitwao KEEP YOU WARM. Hisia ambaye kazi nyingi amezifanya katika mfumo wa Soul amehama katika wimbo huu na kuingia katika reggae. Wimbo huu umerekodiwa nchini Kenya chini ya producer MG. Pakua wimbo hapa
0 comments:
Post a Comment