KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Saturday, November 29, 2014

WILLIAM OTUCK - ZAWADI YA X - MASS ( New Audio Album )

Album mpya ya Krismasi! Huu ndiyo wimbo wa utambulisho kutoka kwa William Otuck: https://mkito.com/song/zawadi-ya-x-mas/4691 Album nzima inapatikana hapa: https://mkito.com/artist-profile/otuck-william/964 Krismasi hii, Santa hatokuwa akitoa zawadi peke yake. Na hata hivyo inaonekana kuwa...

Wednesday, November 26, 2014

Monday, November 24, 2014

JAY DEE FT DABO - FOREVER ( New Audio )

JAY DEE FT. DABO - FOREVER Pakua wimbo mpya kabisa kutoka kwa Lady Jay Dee na Dabo. Jay Dee amehama kidogo kutoka style yake ya kawaida ya Zouk Rhumba na kuimba wimbo huu katika style ya Reggae. Amemshirikisha mdogo wake Dabo ambaye ni mshindi wa tuzo ya KTMA best reggae artist wa Tanzania mwaka...

PICHA MTIKISIKO 2014 - IRINGA ( Photos )

KAMA ULIPITWA NA SHOW YA MTIKISIKO 2014, ILIOFANYIKA UWANJA WA SAMORA IRINGA USIKU WA TAREHE 22/11 KUAMKIA SIKU YA TARE 23/11. UNGANA NASI HAPA KUONA KILICHOJIRI HUKO KWANJIA YA PICHA MNATO ZAIDI YA . SHOW HIO KUBWA INAYOFANYIKA NYANDA ZA JUU KUSINI KILA MWAKA MSIMU KAMA HUU, CHINI YA KITUO BORA CHA...

Saturday, November 22, 2014

ANGEL BENARD - MIMI NA YESU ( New Audio )

ANGEL BENARD - MIMI NA YESU Wimbo wa 5 wiki ya 5 Kati ya Nyimbo 10 zinazotakiwa ingia mtaani. Ni wimbo unaoelezea jinsi ambavyo Mungu ni ukamilifu wa maisha ya mwanadamu. Na hivyo hakuna cha kuogopa wala wa kumuogopa humu duniani. Kila kitu kimetoka kwa Mungu, kinapatikana kwake na mwisho wa...

Thursday, November 20, 2014

Tuesday, November 18, 2014

IRINGA ALL STARS - R.I.P GEEZ MABOVU ( New Audio )

HUU NDIO WIMBO ULIOTENGENEZWA NA SAMPAMBA MUSIC - IRINGA CHINI YA PRODUCER MWASILE AKA SILEEY. NYIMBO HII IMETENGENEZWA NA WASANII WACHANGA TOKA IRINGA KAMA WAWAKILISHI WAWASANII WOTE WA IRINGA NA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI KATIKA KUMUENZI MAREHEM GEEZ MABOVU BAADA YA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KWA...

picha za Location ya WITNESZ TZ - Chunga mdomo wako ( New video Comming soon )

hapa ni moja y location wakati tunarekodi video ya chunga mdomo wako, na ni video ya kwanza ya peke yangu kurekodi na wasichana tu[pu pia ni kati ya video queens walioo kwenye otchunes 20 video queens ambapo otchunes 20 ni kipindi cha tv kinchohusika na kutafuta na kuendeleza vipaji mbali mbali ikwemo...

DIAMOND AMPA SHAVU MEDA CLASSIC BAADA YA KUPATA BARUA YAKE ( Up Date Info )

SIKU CHACHE BAADA YA VIDEO YA MSANII MEDA WA IRINGA IITWAYO BARUA KWA DIAMOND KUINGIA MTAANI, HATIMAE BARUA HIO IMEWEZA MFIKIA DIAMOND NA KUMFANYA AYASEME HAYA KUPITIA UKURASA WAKWE WA Twitter na Instagram " Kiukweli simfahamu, sijawahi hata kumuona wala kuzungumza nae. Na sio kwasababu eti kaniimba...

Monday, November 17, 2014

WALICHOKIFANYA EDDO BASHIRI NA DJ NAS MTIKISIKO MAKAMBAKO 2014 KWA MASHABIKI ( Up Date Info Video )

KAMA ULIMISI HUDHURIA SHOW YA MTIKISIKO MAKAMBAKO 2014, HIZI NDIZO KUFURU ZILIZOFANYWA KWA STAGE KATI YA EDDO BASHIRI,(MTANGAZAJI EBONY FM), NA DJ NAS, (DJ TOKA EBONY FM), DHIDI YA MASHABIKI WAO. NAN ALIFUNIKA? TIZAMA VIDEO HIO HAPO CHINI.....

Sunday, November 16, 2014

DARK MASTER ATANGAZA KUOKOKA RASMI BAADA YA KIFO CHA GEEZ MABOV. ( Exclussive Interview Na Nelly B - Nuru FM )

Kipindi ; STREET BAMIZA Radio : NURU FM 93.5B IRINGA Host & Producer NELLY BE.. EXCLISSIVE INTERVIEW YA NELLY B NA DARK MASTER TOKA NURU FM IRINGA BAADA YA KIFO CHA MSANII GEEZ MABOVU ATANGAZA KUOKOKA. SIKILIZA HAPA CHINI...

Friday, November 14, 2014

HII NDIO SAFARI YA MWISHO YA MAISHA YA Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' DUNIANI.

Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' ALIZALIWA MWAKA 1983 IRINGA TANZANIA.KAMA ARTIST MKUBWA WA HIP HOP TANZANIA, ALIWEZA FANYA HIT SONG KALI KADHAA, IKIWEMO MTOTO WA KIUME, DAKIKA 0, NA NYINGINE NYINGI PICHANI NI PRODUCER LAMAR AMBAE MPAKA UMAUTI UNAMKUTA GEEZ ALIKUA AKIFANYA PROJECT NAE YAKUMUANDALIA...