KITAA SHOP |Bofya Picha Kutembelea Kitaa Shop

Monday, November 24, 2014

PICHA MTIKISIKO 2014 - IRINGA ( Photos )

KAMA ULIPITWA NA SHOW YA MTIKISIKO 2014, ILIOFANYIKA UWANJA WA SAMORA IRINGA USIKU WA TAREHE 22/11 KUAMKIA SIKU YA TARE 23/11. UNGANA NASI HAPA KUONA KILICHOJIRI HUKO KWANJIA YA PICHA MNATO ZAIDI YA . SHOW HIO KUBWA INAYOFANYIKA NYANDA ZA JUU KUSINI KILA MWAKA MSIMU KAMA HUU, CHINI YA KITUO BORA CHA RADIO EBONY FM IRINGA. IMEKUA GUMZO SAANA KWA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI KAMA SHUKRANI NA KUWAKUTANISHA WASIKILIZAJI WAKE WOTE WA MIKOA YA KUSINI PAMOJA, KWA KUPONGEZANA NAKUSHEREKEA. IMEKUA PIA IKIHUSISHA WANANII WAKUBWA MBALIMBALI TANZANIA, NA NJE YA TANZANIA. MFANO, WASANII WALOSHIRIKI KATIKA TAMASHA HILI BAADH, WALIKUA NI DIAMOND PLATNUMZ, KALA JEREMIA, T.I.D, LINEX, IZZO B, NAWENGINE WENGI, WAKISINDIKIZWA NA WASANII WACHANGA TOKA MIKOA YA KUSINI KAMA, MEDDA CLASSIC, OBBY, DEE GOSBA, MAC MC, NEMMY MC, NA WENGINE WENGI... ZAIDI ENDELEA TIZAMA MAPICHA HAPA CHINI....

IZZO B MTOTO WAMBEYA AKIFANYA YAKE.


KALA JEREMIAH PIA ALITISHA NAE

DJ NASS (kushoto) na EDDO BASHIR ( kulia ) WAKIAMSHA AMSHA KWA STAGE KAMA ILIVYO KAWAIDA YAO.

EDDO BASHIRI - ( mtangazaji Ebony FM ) AKIZIDI PAGAWAWISHA MASHABIKI, BAADA YA MIZUKA KUMPANDA.


MAMA LA MAMA AKIYARUDI JUKWAANI NAMIONDOKO YAPWANI

DIAMOND PLATNUMZ ALIEBEBWAJUU NA WACHEZAJI WAKE.


NAHUYU NDIO YULE MTOTO MEDDA CLASSIC ALIE MWANDIKIA BARUA DIAMOND, AKIWAKILISHA VYEMA.

T.I.D NAE HAKUA NYUMA KUONYESHA UKONGWE WAKE ALONAO KATIKA KIPAJI CHAKE CHAKUPAGAWISHA MASHABIKI.


0 comments:

Post a Comment