hapa ni moja y location wakati tunarekodi video ya chunga mdomo wako, na ni video ya kwanza ya peke yangu kurekodi na wasichana tu[pu pia ni kati ya video queens walioo kwenye otchunes 20 video queens ambapo otchunes 20 ni kipindi cha tv kinchohusika na kutafuta na kuendeleza vipaji mbali mbali ikwemo ,muziki acting,video dancers,video queens wote wanapatikana wakihitajika hata sasa ambapo mara nyingi ilikua taabu sana kwangu mimi kupata wasichana ili washiriki nami kwenye music videos ila kwa sasa kwa kuwa ninao na ninawaandaa kmwenyewe ndo maana nimepata urahisi wa kuwatumia kwa mswali zaidi nicheki hewani 0717 757 75 82
picha za Location ya WITNESZ TZ - Chunga mdomo wako ( New video Comming soon )
Posted by NAOMIKADUMA On 6:16:00 PM
Related Posts:
Meck chalz - Naskia Raha | Audio Kuupakua wimbo huu bofya haapa chini kwenye kitufe cha Download Kuusikiliza Ukiwa Online Bofya kitufe cha Play Hapa Chini … Read More
Esaya - Maumivu | Audio Singer Name ;- Esaya Song Name :- Maumivu Country ;- Tanzania Genre ;- Bongo Fleva Studio ;- Sky Life Music Mawasiliano Zaidi/Bo… Read More
Johwell ft Dullayo - Kangaroo | Audio Wimbo mpya wa Johwell akimshirikisha Msanii mkongwe Dullayo wimbo unaitwa Kangaroo umeandaliwa katika studio za Sampamba Music chini ya Producer S… Read More
Baraka Da Prince ft Ally Kiba - Nisamehe | Audio Exclusive | Nisamehe - Baraka The Prince X Ali Kiba Kuupakua wimbo huu bofya Kitufe cha Download Hapa Chini Kuusikiliza Online B… Read More
Don Bizzo ft Ommy Sam - Palepale | Audio Kuupakua wimbo huu bofya kitufe cha Download hapa Chini Kuusikiliza online Bofya hapa chini … Read More
0 comments:
Post a Comment